Kagera kuna hali ya hatari, kumezuka ugonjwa wa kutokwa damu puani na mdomoni. Watu 5 wafariki dunia 2 wako hospitali. Serikali ichukue hatua haraka

We si nshomile au umelewa Rubisi [emoji38]
Pambana na hali yako...acha shobo na maisha ya watu...


Leta hoja za maana sio mihemuko...

Sasa unaniuliza mimi kwa nini napata majanga....mimi nimekuwa mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…