Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hivi ndivyo serikali inavyotakiwa kufanya kazi.
Siyo serikali ya bwana yule kufichaficha mambo.
Kudos.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ndivyo serikali inavyotakiwa kufanya kazi.
Nyegeraa waitu!!!Mungu atunusuru na ugonjwa huo.
Dah! Kagera sijuw kuna nini Jaman?
Wew laana unaijua ww...so mtu ukiumwa tu unalaana?Mkoa wa bukoba unalaana
Shamba la bibiTanzania kila mtu anajiingilia tu vile anavyo taka
Naona Chalamila amewakusanya watu hapo uhuru Bukoba
Lipi ulifichwa mkuuHivi ndivyo serikali inavyotakiwa kufanya kazi.
Siyo serikali ya bwana yule kufichaficha mambo.
Kudos.
Sasa unaniuliza nikujibu nini....jaribu kutumia akili japo kidogoKagera mna majanga mabaya kwanini? Meko aliwaambia mkachukia alafu sifa mingi za kishamba.
Kuna Mhaya ambaye Kiingereza hakimpendi? [emoji15][emoji15][emoji15]
Nayanga bojo!
Hujaambiwa kuna "changamoto za kupumua" watu wakakatazwa kutoa hata namba za wagonjwa wa Covid-19?Lipi ulifichwa mkuu
Sasa unaniuliza nikujibu nini....jaribu kutumia akili japo kidogo
Pambana na hali yako...acha shobo na maisha ya watu...We si nshomile au umelewa Rubisi [emoji38]
Pambana na hali yako...acha shobo na maisha ya watu...
Leta hoja za maana sio mihemuko...
Sasa unaniuliza mimi kwa nini napata majanga....mimi nimekuwa mungu