Kagera: Mwalimu ampiga mpaka kuua mwanafunzi wa kidato cha tatu aliyevunja mlango wa nyumba yake ili kuiba simu

Uchunguzi ufanyike Kwa kina, yawezekana mwalimu alikuwa anampiga mpenzi wake baada ya kufumania sms yenye mashaka hapa vijana waliokwenye hatua ya mwanzo ya kuelekea kwenye utu uzima wananielewa vizuri.
 
Kuna teacher aliwahi ibiwa simu,
Alienda kamata wanafunzi wenye simu,ila akaibiwa simu yake
Na wala hakuchukua hatua yoyote
 
Mimi najua kuna kuua damu isiyo na hatia na kuua kwa haki damu yenye hatia basi.....hayo mengine ya visu vingapini nonsense mbona polisi wanampiga jambazi risasi hata kumi
 
Halafu anakuja kiongozi mkuu anakwambia KIGO NI KIFO TU

Amekosa utu na uhalali
 
Ubaya ubwela, marehemu kaleta dharau sana. Hii habari nimesikiliza radion, Ni kwamba Ticha aliibiwa simu mwanzo na akamtuhumu marehemu. Marehemu akakataa kuhusika, ticha akasepa kinyonge, muda ukapita, Mungu si Abdalah za mwizi40.Ticha anajirudisha magheton anakuta kufuri limevunjwa na marehumu yupo ndani. Ungekuwa we ndio ticha unamfanya nini huyu kiumbe?
 
Kifo kingine shuleni mtuhumiwa ni mwalimu🤔🥺
 
Kwahiyo bodaboda akiua mwizi kwake itaandikwa bodaboda aua mwizi
 
Naona kichwa cha habari kimepakwa mafuta mwalimu ili atiwe hatiani ilitakiwa iwe mwalimu aua mwizi
Mwizi anaruhusiwa kuuawa? hujui kua kujichukulia sheria mkononi ni kosa kisheria?

To punish someone or do something to put a situation right instead of waiting for the Police or legal system to take action is against the law,
that is Vigilante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…