Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwezi mmoja tu wakikaa mtaani waalimu watakosa mishaharaInabidi Polisi wasambazwe tena,
Mimi najua kuna kuua damu isiyo na hatia na kuua kwa haki damu yenye hatia basi.....hayo mengine ya visu vingapini nonsense mbona polisi wanampiga jambazi risasi hata kumiKuua bila kukusudia.
Ukimchoma MTU kisu mara moja na akafa hiyo mahakamani wanasema umeua bila kukusudia.
Ila ukimchoma visu kuanzia viwili basi utahsabiwa umeua kwa makusudi.
Unapotaka kumuibia simu Mwalimu mwenye changamoto ya maisha ni ngumu kutoka salama.
Hasira hasaraMimi najua kuna kuua damu isiyo na hatia na kuua kwa haki damu yenye hatia basi.....hayo mengine ya visu vingapini nonsense mbona polisi wanampiga jambazi risasi hata kumi
Halafu anakuja kiongozi mkuu anakwambia KIGO NI KIFO TUJeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Igurwa, Adrian Tinchwa (36) kwa tuhuma za kumuua, Phares Buberwa mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Igurwa.
Taarifa iliyotolewa jana Jumanne Septemba 24, 2024 na Kamanda wa Polisi mkoani humo, Blasius Chatanda imesema mwalimu huyo ambaye ni mkazi wa Kata ya Kanoni wilayani Karagwe, inadaiwa alimshambulia marehemu kwa kumpiga ngumi kwenye paji la uso na kutumia nondo kumpiga nayo miguuni na mikononi baada ya kumtuhumu kuiba simu yake.
Soma pia: Mwalimu adaiwa kumpiga ngumi mwanafunzi na kumng'oa jino, eti Kisha kapata alama 29 za Hisabati
"Tukio hili lilitokea Septemba 18, 2024 saa 8:00 mchana katika kijiji cha Kanoni Wilaya ya Karagwe, ambapo mtuhumiwa awali mnamo tarehe hiyo saa 3 asubuhi, imedaiwa alifika nyumbani kwake na kukuta kufuli la mlango wa nyumba yake likiwa limevunjwa na alipotaka kuingia ndani alikutana na Phares Buberwa mlangoni akiwa anatoka ndani huku akijaribu kukimbia," amesema.
"Na ndipo mtuhumiwa alimkamata na kuanza kumshambulia hadi kusababisha kupata majeraha makubwa mwilini mwake na baadaye mtuhumiwa alimpeleka hadi nyumbani kwa wazazi wake na kumkabidhi kisha wazazi wake walimpeleka katika Kituo cha Afya cha Rwambaizi kwa ajili ya kupatiwa matibabu ambapo alifariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu," amesema Kamanda Chatanda.
Source: Mwananchi
Mwizi mvunjaji au kibaka mkabaji ukikutana nao popote wewe NIULIE HIVYO VIUMBE KESI NIPEWE MIMI...Hasira hasara
Mahabusu atakaa, anaweza kuachi2q huru baadae au akatumikia kifungo kidogoLakini jela ataenda sio
Kifo kingine shuleni mtuhumiwa ni mwalimu🤔🥺Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linamshikilia Mwalimu wa Shule ya Msingi Igurwa, Adrian Tinchwa (36) kwa tuhuma za kumuua, Phares Buberwa mwanafunzi wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari Igurwa.
Taarifa iliyotolewa jana Jumanne Septemba 24, 2024 na Kamanda wa Polisi mkoani humo, Blasius Chatanda imesema mwalimu huyo ambaye ni mkazi wa Kata ya Kanoni wilayani Karagwe, inadaiwa alimshambulia marehemu kwa kumpiga ngumi kwenye paji la uso na kutumia nondo kumpiga nayo miguuni na mikononi baada ya kumtuhumu kuiba simu yake.
Soma pia: Mwalimu adaiwa kumpiga ngumi mwanafunzi na kumng'oa jino, eti Kisha kapata alama 29 za Hisabati
"Tukio hili lilitokea Septemba 18, 2024 saa 8:00 mchana katika kijiji cha Kanoni Wilaya ya Karagwe, ambapo mtuhumiwa awali mnamo tarehe hiyo saa 3 asubuhi, imedaiwa alifika nyumbani kwake na kukuta kufuli la mlango wa nyumba yake likiwa limevunjwa na alipotaka kuingia ndani alikutana na Phares Buberwa mlangoni akiwa anatoka ndani huku akijaribu kukimbia," amesema.
"Na ndipo mtuhumiwa alimkamata na kuanza kumshambulia hadi kusababisha kupata majeraha makubwa mwilini mwake na baadaye mtuhumiwa alimpeleka hadi nyumbani kwa wazazi wake na kumkabidhi kisha wazazi wake walimpeleka katika Kituo cha Afya cha Rwambaizi kwa ajili ya kupatiwa matibabu ambapo alifariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu," amesema Kamanda Chatanda.
Source: Mwananchi
Mwizi anaruhusiwa kuuawa? hujui kua kujichukulia sheria mkononi ni kosa kisheria?Naona kichwa cha habari kimepakwa mafuta mwalimu ili atiwe hatiani ilitakiwa iwe mwalimu aua mwizi
Mkuu,Mwalimu amemuua Mwanafunzi wake ndio maana ikaandikwa hivyo,Kwahiyo bodaboda akiua mwizi kwake itaandikwa bodaboda aua mwizi