The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Ni watu wangapi wamefikishwa Mahakamani kwa tuhuma ila wakashinda kesi? Kua suspect hakumaanishi kua umeshakua convicted,Mahakamani mambo hua ni tofauti na mtaani,Mwizi anathibitishwa na mahakama baada ya kupewa ushahidi na hao wanaomwona kuwa ni mwizi..!!
Kama unakubali kua mwizi anathibitishwa na Mahakama baada ya ushahidi,basi kubali kua,Mwizi anakua hana sifa ya uwizi rasmi mpaka pale atakapothibitishwa na Court of Law,kabla ya hukumu atatambulika kama mtuhumiwa "Suspect"