Kagera: Mwalimu ampiga mpaka kuua mwanafunzi wa kidato cha tatu aliyevunja mlango wa nyumba yake ili kuiba simu

Kagera: Mwalimu ampiga mpaka kuua mwanafunzi wa kidato cha tatu aliyevunja mlango wa nyumba yake ili kuiba simu

Mwizi anathibitishwa na mahakama baada ya kupewa ushahidi na hao wanaomwona kuwa ni mwizi..!!
Ni watu wangapi wamefikishwa Mahakamani kwa tuhuma ila wakashinda kesi? Kua suspect hakumaanishi kua umeshakua convicted,Mahakamani mambo hua ni tofauti na mtaani,

Kama unakubali kua mwizi anathibitishwa na Mahakama baada ya ushahidi,basi kubali kua,Mwizi anakua hana sifa ya uwizi rasmi mpaka pale atakapothibitishwa na Court of Law,kabla ya hukumu atatambulika kama mtuhumiwa "Suspect"
 
Ukubali kuibiwa simu ya laki tatu au unende jela maisha?
Mwalimu: laki tatu ni mahahara wangu wote, ntaenda jela.


Sasa kakosa simu, na maisha
Kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuua bila kukusudia.

Ukimchoma MTU kisu mara moja na akafa hiyo mahakamani wanasema umeua bila kukusudia.

Ila ukimchoma visu kuanzia viwili basi utahsabiwa umeua kwa makusudi.

Unapotaka kumuibia simu Mwalimu mwenye changamoto ya maisha ni ngumu kutoka salama.
Inategemea,yaani umegombana dukani kwa mangi,ukatoka ukaenda nyumban kufuata kisu,then ukaua,halafu isiwe murder kesi?
 
Huyo hakuwa mwanafunzi alikuwa kibaka, sema waandishi wakiskia mwalimu wanachanganyikiwa. Mwanafunzi gani wa kuvunja mchana. Tena inawezekana siyo wa shule anayofundisha, sasa angejuaj ni mwanafunzi. Je mwanafunzi hawezi kuwa kibaka, na akiwa kibaka kwani haruhusiwi kuadhibiwa. Hawa vibaka wanatuingiza hasara sn, km hajakukuta huwezi kuelewa uamuzi wa huyo jamaa.
 
Walimu wa shule ya msingi wengi ni vichaa na msongo wa mawazo
Sasa ulitaka mwalimu afanyaje mkuu ilinasiwe na stress? Kwani watu wanaoua mwizi wote wana stress? Mi mwenyewe kuna mmoja ananiibia sana kuku nyumbani kwangu, namtega tu. Yule nikimfuma kama ambavyo mwalimu kamfuma namuua tu. Tena ni mwanamke na ni mke wa jirani yangu.

Namlawiti kwanza then namuua kwa kuiba kuku 1 tu. Hata wewe ukiniibia kuku, nakulawiti then nakuua. 😀😀😀
 
Nilivyoona mshahara wa mwezi huu umeniga kwa mafungu mafungu nilijua majanga kama haya yatatokea Tu!
Fikiria watumishi wanaochukulia mshahara kwenye Benki moja mfano NMB wengine Hadi Jana salio lilikiwa halisomi wakati wenzao salio lilisoma jumatatu!
 
Mwizi ni muuaji akitaka asiache ushahidi,akikushinda nguvu .

Ni kuua tu
 
Maelezo yanasema "mwanafunzi alikua anajaribu kukimbia".
Labda kama useme "mwanafunzi alikua anajaribu kumshambulia mwalimu" tungeongea mengine.
Pia inaonekana kijana ni mdokozi tu sio yule mwizi wa kusema ni tishio kiusalama wa uhai ndio maana mwalimu kaweza kumdhibiti na kumtwanga.
Angekua amekubuhu kama vitoto vya Tandale au Manzese si tungekua tunaongea mengine hapa!?
Hayo maelezo ameyetoa Mwalimu? Maana hapo ndani si walikuw Mwalimu na huyo "Mwizi"? Sasa hizo "chumvi na Binzari" nyingine zinatokea wapi?
 
Ningekuwa mimi ni baba wa huyo mtoto aliyeuwawa ningemla huyo mwalimu nyama asubuhi. Watoto wenyewe ndio hawa hawa wa kuzunguka kwa waganga
 
Hilo toto linalovunja mlango ni jambazi jizi tu kama jizi jingine lipumzike kwa amani.
 
Hio simu alikua hatembei nayo?
Alikuwa anaiacha nyumbani?
Huyo mwalimu ahojiwe vyema, waitwe mashahidi pia..
 
Unazifafahamu tofauti kati ya *kuua na *kuua bila kukusudia?
Hio kesi ni kujichukulia sheria mikononi, hata hivyo bado ni maelezo mwalimu, na huyo marehemu ni mtuhumiwa kwa maana hii habari haijathibitishwa..

Ma doctor wakifanya uchunguzi wataeleza kama alipigwa nondo kichwani au kifuani n.k
 
Back
Top Bottom