luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
sio bukoba tu kagera yot naijua kwanzia biharamlo HD ngaraHivi nikuulize swali ulishawahi fika bukoba? Najua utanidanganya kama ukifika utafunga domo lako hilo kwa aibu
sio bukoba tu kagera yot naijua kwanzia biharamlo HD ngaraHivi nikuulize swali ulishawahi fika bukoba? Najua utanidanganya kama ukifika utafunga domo lako hilo kwa aibu
mwee kumbe hujui kituNa je wahaya wanakutwa wapi katika mkoa huo na je ulishafika sehemu za wahaya kwa taarifa yako wanakutwa kwenye wilaya NNE tu kati ya Tisa za mkoa huo nazo ni bukoba mjini,vijijini,muleba na misenyi hebu fuatilia kiwango cha umaskini katika wilaya hizo halafu njoo uje uwatukane wahaya vzr ikishindakana andaa laki mbili kama nauli uje ujionee mwenyewe. Waulize walioshafika wakwambie.route ya Bk nshamba ina daladala 40, Bk mtukula 50,bk muleba hazihesabiki halafu unasema bukoba hakuna daladala unaonekana kichaa si bure
Cheiwanjuma
Eti kuanzia biharamulo hadi ngara kumbe umetembea kidogo hivyo hata bukoba hujafika unajua kutoka biharamulo hadi Bk ni km ngap? Ukweli umuweka MTU huru eti biharamulo hadi ngara wakati zimekaribiana na ndo kwanza unakuwa umeanza kagera ndo ndo maskini sana na sio za wahaya hata kidogo.nenda muleba, bukoba na misenyi upaone na ulete kiwango cha umaskini ndo uje uwaponde wahaya vzr we ni muongo mno na unahitaji elimusio bukoba tu kagera yot naijua kwanzia biharamlo HD ngara
Ndo maana nmekwambia mfumo wa usafirishaji ni tofauti na wa mikoa mingine ni kama wa Kampala kama ulishafika half daladala sio kipimo cha maendeleo ishu ni good public transport mbona bodaboda na bajaj ni mfumo mzr tu tazama Delhi, Jakarta,manila na Kampala je sio majiji mbona bodaboda nyingi tu.tanga je baiskeli mbona jiji.halafu wakisema mkoa Fulani ni maskini ni vitu vingi vinaangaliwa hata mwanza ni wa NNE kwa umaskini lakini huwezi sema moshi panaizidi mwanza jiji kimaendeleo.hebu tuongee kisomi sasamwee kumbe hujui kitu
nazungumzia dladal za pale mjin we unasm cjui za mulb bkb hizo so n za wilaya kW wilaya? hhhhhhi nacheka kwa saut
tupe vigezoNdo maana nmekwambia mfumo wa usafirishaji ni tofauti na wa mikoa mingine ni kama wa Kampala kama ulishafika half daladala sio kipimo cha maendeleo ishu ni good public transport mbona bodaboda na bajaj ni mfumo mzr tu tazama Delhi, Jakarta,manila na Kampala je sio majiji mbona bodaboda nyingi tu.tanga je baiskeli mbona jiji.halafu wakisema mkoa Fulani ni maskini ni vitu vingi vinaangaliwa hata mwanza ni wa NNE kwa umaskini lakini huwezi sema moshi panaizidi mwanza jiji kimaendeleo.hebu tuongee kisomi sasa
njaaa IPO nenda karagwe,misenyi,bkb vijin biaramlo uone yaan totally n maskinLakini nasikia hakunaga njaa kuleee, shiling tu ndo hamna, ndo wanajibugi hyooooo
Kichwa cha habari kihaya, main body kihaya, comments zote kihaya, halafu unasema huu uzi siyo wa ukabila?We wakiongelea chochote kuhusu wahaya ni ukabila?
Kaisiki nakwegombaKwa kihaya ukitaka kumwambia msichana nakupenda, unasemaje ??
Ao Byeyombo waba noyenda kabatamu Kanyarwe, Katuruka na Ntoma?Umesahau Dubai, London, Paris, Hong Kong ...
Hiyo ulikuwa mipango mkakati ya walioona Kagera ni tishioMBWEMBWE ZOOTE KAGERA NI MKOA WA TATU KWA UMASKINI TANZANIA POOR KBS NYIE WATU MNAACHA KUCHAPA KAZ MNABAKI MKIJIBARAGUZA KUWA N WASOMI KUMBE HAMNA LOLOTE
KAGERA IMECHAKAA HASWAA
Kumbe wewe hujuiWahaya wengi walikua hawapendi kujenga kwao Yani wakitoka kufika mijini huko mtu akapata hela atajenga au kufanya maisha hukohuko.. Walau sikuhizi wanarudi kujenga makwao..
Na ule ulimbukeni sasa muhaya akitoka kidogo tu utamjuaaa haki mtakoma
Cc Smart911
waitu inya omukama katonda atwebembeleabaaya mukam ababele...negi Jf nichwr twagibandize.
Sasa we si uache kuchangiaKichwa cha habari kihaya, main body kihaya, comments zote kihaya, halafu unasema huu uzi siyo wa ukabila?
Moda, msipoufuta huu uzi, na ninyi ni wahaya, au mnatawaliwa na wahaya. Active, mnaruhusu nini hiki?, JF itakuwa ya makabila sasa.