Kagera N'Ogimanyage? Isi owanyu nia? - Kagera unaijua vizuri? Kwenu ni wapi?

Kagera N'Ogimanyage? Isi owanyu nia? - Kagera unaijua vizuri? Kwenu ni wapi?

Na je wahaya wanakutwa wapi katika mkoa huo na je ulishafika sehemu za wahaya kwa taarifa yako wanakutwa kwenye wilaya NNE tu kati ya Tisa za mkoa huo nazo ni bukoba mjini,vijijini,muleba na misenyi hebu fuatilia kiwango cha umaskini katika wilaya hizo halafu njoo uje uwatukane wahaya vzr ikishindakana andaa laki mbili kama nauli uje ujionee mwenyewe. Waulize walioshafika wakwambie.route ya Bk nshamba ina daladala 40, Bk mtukula 50,bk muleba hazihesabiki halafu unasema bukoba hakuna daladala unaonekana kichaa si bure
mwee kumbe hujui kitu
nazungumzia dladal za pale mjin we unasm cjui za mulb bkb hizo so n za wilaya kW wilaya? hhhhhhi nacheka kwa saut
 
sio bukoba tu kagera yot naijua kwanzia biharamlo HD ngara
Eti kuanzia biharamulo hadi ngara kumbe umetembea kidogo hivyo hata bukoba hujafika unajua kutoka biharamulo hadi Bk ni km ngap? Ukweli umuweka MTU huru eti biharamulo hadi ngara wakati zimekaribiana na ndo kwanza unakuwa umeanza kagera ndo ndo maskini sana na sio za wahaya hata kidogo.nenda muleba, bukoba na misenyi upaone na ulete kiwango cha umaskini ndo uje uwaponde wahaya vzr we ni muongo mno na unahitaji elimu
 
Ukabila kama huu hatuwezi kuuvumilia, mods, futeni huu uzi, umejaa ukabila mtupu. Innovator
 
mwee kumbe hujui kitu
nazungumzia dladal za pale mjin we unasm cjui za mulb bkb hizo so n za wilaya kW wilaya? hhhhhhi nacheka kwa saut
Ndo maana nmekwambia mfumo wa usafirishaji ni tofauti na wa mikoa mingine ni kama wa Kampala kama ulishafika half daladala sio kipimo cha maendeleo ishu ni good public transport mbona bodaboda na bajaj ni mfumo mzr tu tazama Delhi, Jakarta,manila na Kampala je sio majiji mbona bodaboda nyingi tu.tanga je baiskeli mbona jiji.halafu wakisema mkoa Fulani ni maskini ni vitu vingi vinaangaliwa hata mwanza ni wa NNE kwa umaskini lakini huwezi sema moshi panaizidi mwanza jiji kimaendeleo.hebu tuongee kisomi sasa
 
tupe vigezo
 
We wakiongelea chochote kuhusu wahaya ni ukabila?
Kichwa cha habari kihaya, main body kihaya, comments zote kihaya, halafu unasema huu uzi siyo wa ukabila?
Moda, msipoufuta huu uzi, na ninyi ni wahaya, au mnatawaliwa na wahaya. Active, mnaruhusu nini hiki?, JF itakuwa ya makabila sasa.
 
Sasa we si uache kuchangia
 
Back
Top Bottom