Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
Otyooo, kyonka iwe ogila emyespanko.abaaya mukam ababele...negi Jf nichwr twagibandize.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Otyooo, kyonka iwe ogila emyespanko.abaaya mukam ababele...negi Jf nichwr twagibandize.
Iwe bojo
kumbe naiwe oliwomukaHaha
dekasi oliwankaiIwe bojo
Bija biwa, bajwala bigutuka. Atakwendela tatuuu ageta mazombo!MBWEMBWE ZOOTE KAGERA NI MKOA WA TATU KWA UMASKINI TANZANIA POOR KBS NYIE WATU MNAACHA KUCHAPA KAZ MNABAKI MKIJIBARAGUZA KUWA N WASOMI KUMBE HAMNA LOLOTE
KAGERA IMECHAKAA HASWAA
Siyo kweliMBWEMBWE ZOOTE KAGERA NI MKOA WA TATU KWA UMASKINI TANZANIA POOR KBS NYIE WATU MNAACHA KUCHAPA KAZ MNABAKI MKIJIBARAGUZA KUWA N WASOMI KUMBE HAMNA LOLOTE
KAGERA IMECHAKAA HASWAA
O'mu abalya akajunzireBugandika-kiziba
Mzaramodekasi oliwankai
Hilo neno la mwisho lugha gani hiyo?Otyooo, kyonka iwe ogila emyespanko.
Ninshaba ebigonzoKwa kihaya ukitaka kumwambia msichana nakupenda, unasemaje ??
kwa mujibu wa takwimu za wizara ya fedha,kagera n mkoa wa tatu kwa umaskinSiyo kweli
ongea lugha zoote ukweli ndo huo kagera n maskin ya kutishaBija biwa, bajwala bigutuka. Atakwendela tatuuu ageta mazombo!
Byona kayo, ubujege bwaitu bukukweteki???
Iwe mwisiki, bojo ninkwenda/ninkugonza muno.Kwa kihaya ukitaka kumwambia msichana nakupenda, unasemaje ??
😀😀😀 Hongera sana kwa kujikomboa.
Eti dada angu mahondaw. Nikitaka kumwambia mtoto wa kike mhaya NAKUPENDA, nasemaje ?
Wahaya wengi walikua hawapendi kujenga kwao Yani wakitoka kufika mijini huko mtu akapata hela atajenga au kufanya maisha hukohuko.. Walau sikuhizi wanarudi kujenga makwao..kwa mujibu wa takwimu za wizara ya fedha,kagera n mkoa wa tatu kwa umaskin
hata kiuhalisia n kweli miundombnu kagera IPO duni,sio mjin wala vijijin mfano kule muleba barabara hovyo vinymba vyw hovyo,bkb vijijin vilevile
pale bukoba mjin tu palivyochakaa inawachoresha sana,mji hauna daladala cjawwh ona KBS
mji hauna hotel hata ya nyota 2 aisee mjenge mkoa wenu achen mbwembwe