Kagera: Rais Magufuli kuzindua Shule ya Sekondari Ihungo iliyokarabatiwa kwa Tshs Billioni 10.9

Nimefarijika kuona comment za baadhi ya Ihungo alumni kweny uzi....

Mimi nilikaa Elgon 12 A.k.a headquarters ya Ihungo....
Sijui Kama itakuwepo......
 
https://www.facebook.com/
 
Bilioni 10 hata wameshindwa kuweka maguzo matano ya umeme wa solar? Viwanja vya mpira wa miguu, Tennis na cricket? Hata mahali pa kufulia na kuanika nguo? Hata bwawa la kuogelea? Third world mentality!
 
Bilioni 10?? Ni shule. Mpya ngapi
Hujui unachosema, ubishi tu! Hiyo shule imejengwa upya na technology ya kustahimili matetemeko ya ardhi ya baadaye. Hiyo technology pekee ni hela nyingi, Pia shule yenyewe ni nzuri na iko kwa watu wanaotambua kuelimika ni nini (kwa maneno ya balozi wa Uingereza wakati wa ufunguzi.).
 
tunaomba picha za hostel za b10 tulinganishe
 
Ndio kusema ameenda kusafisha mistake?
Mistake gani aliyoenda kusafisha?

Tatizo huwa mnabwabwaja pasipokujua mipango ya mtu mnataka kila kitu muelezwe ili muanze kujinadi kuwa mnajua kila kinachoendelea ndani ya uongozi wa serikali ya tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…