Kagera: Rais Magufuli kuzindua Shule ya Sekondari Ihungo iliyokarabatiwa kwa Tshs Billioni 10.9

Kagera: Rais Magufuli kuzindua Shule ya Sekondari Ihungo iliyokarabatiwa kwa Tshs Billioni 10.9

Mnamchosha president wetu kufungua shule Ni inshu ndogo Sana sio ya kufanya rais kuna kazi za kufanya mawaziri
 
Kaka bilioni 10 zisikie tu hivi. Hata kungekuwa na maktaba gani au maabara ya aina gani (hasa kwa shule ya sekondari) tena marekebisho, hizo hela nyingi sana.
sure mkuu, shule imekua poa sanaa lakin ndo 10 b? duuh
 
sawa iko vzuri na kazi kweli imefanyika, pongezi ziende kwa serikali ya awamu ya tano, ila ndo 10B asee? kweli 10 B? au kuna mengine hayapo kwny picha?
 
sawa iko vzuri na kazi kweli imefanyika, pongezi ziende kwa serikali ya awamu ya tano, ila ndo 10B asee? kweli 10 B? au kuna mengine hayapo kwny picha?
Kujenga ghorofa kwenye ukanda wa tetemeko ni gharama zaidi. Hivyo hiyo pesa huenda imetumika ki halali kabisa.
 
Ndio kaz ya serikali sion sababu ya kusifia hata hivo CCM imetucheleweshea maendeleo sana
 
Sasa mbona zimeandikwa Kilimanjaro na Meru wakati zipo Bukoba?
 
WAMEKOSEA SANA, WANGEYAPA MAJINA YA CHATO, GEITA, MBOGWE, BUKOMBE, NYANG'HWALE NK..
 
Shule ipo bukoba ila cha ajabu mabweni yameandikwa majina kutoka uchagani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama hayakubadilishwa ni majina ya safu za milima ya Afrika Mashariki mkuu.

Kilimanjaro, Meru, Ruwenzori,Kenya n.k

Much love to my fellow Kenyans.

Much more love to Ruggie girls.
 
Back
Top Bottom