JAMANI HAPO SIO #CHATO, NI BUKOBA...NI YONA
Mambo hayo Dkt. Magufuli tutamkumbuka Sana uongozi unaoacha Alama kubwa, hatari kiukweli anastahiri pongezi kubwa mnooo.
Muonekano wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais Dkt. Magufuli tarehe 18 Januari, 2020.
Shule hiyo imefanyiwa ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea mjini Bukoba tarehe 10 Septemba, 2016.
View attachment 1679952
View attachment 1679953
View attachment 1679954
View attachment 1679955
View attachment 1679956