Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
- Thread starter
- #101
Eti Kwamba Azam waliweka Pesa nyingi ya Multchoice [emoji23][emoji23][emoji23]Supersport alizidiwa dau na Azam?
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti Kwamba Azam waliweka Pesa nyingi ya Multchoice [emoji23][emoji23][emoji23]Supersport alizidiwa dau na Azam?
Joseverest naye yuko wapi sijui!!Mzee Niko Safarini To Mbeya just why nakuwa siko active
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hivi ukiwa mla mihogo ukweli hauwezi kuukubali???? Mayele kiwango kimeshuka sana.. Hilo nalo linaitaji uwe na akili??? Oooh... Nimesahau kumbe haupo kwny wale wawili walio na akili pale utopoloniKama timu yako ilifungwa zaidi ya mara mbili na Mayele basi huwezi mchagua Mayele
Muulize InongaHuyu Clement ni hatari kuliko Mayele
So wahuni wana take advantageM
mechi nyingi za mkoani AzamTv huwa na camera chache nafikiri wanafanya hivi kwa makusudi
Sasa kipi cha ajabu hapo???Eti Kwamba Azam waliweka Pesa nyingi ya Multchoice [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hamna kitu pale zimebaki rasta tu, bora hata Kibu anavumilikaMuulize Inonga
TrueKwa hizi tabia za marefa kumeza firimbi tushashuhudia yanga akienda unbeaten hata mechi 300 .hii sio sawa marefa waone aibu basi ,hapa kagera alikuwa anapata penati halali kabisa lakin refa kaona nongwa kutoa penati kwa kagera.Laiti ingekuwa kafanyiwa mayele upande wa pili kule refa angefunika tuta.
Hii ni aibu kwa ligi yetu ,mwenye haki apewe hata kama ni timu ya daraja la kati
Acha Dharau ww. Unamlinganisha Mayele na Huo Uchafu WenuHamna kitu pale zimebaki rasta tu, bora hata Kibu anavumilika
Ona hili koloKwa hizi tabia za marefa kumeza firimbi tushashuhudia yanga akienda unbeaten hata mechi 300 .hii sio sawa marefa waone aibu basi ,hapa kagera alikuwa anapata penati halali kabisa lakin refa kaona nongwa kutoa penati kwa kagera.Laiti ingekuwa kafanyiwa mayele upande wa pili kule refa angefunika tuta.
Hii ni aibu kwa ligi yetu ,mwenye haki apewe hata kama ni timu ya daraja la kati
Ana goli ngapi Kibu D?Hamna kitu pale zimebaki rasta tu, bora hata Kibu anavumilika
Ukweli ni kuwa Azam ndio walimwaga mpunga mwingi kuliko bidders wengine
HT: Yanga 1-0 kageraMbona hakuna update
Cry moreeeeKwa hizi tabia za marefa kumeza firimbi tushashuhudia yanga akienda unbeaten hata mechi 300 .hii sio sawa marefa waone aibu basi ,hapa kagera alikuwa anapata penati halali kabisa lakin refa kaona nongwa kutoa penati kwa kagera.Laiti ingekuwa kafanyiwa mayele upande wa pili kule refa angefunika tuta.
Hii ni aibu kwa ligi yetu ,mwenye haki apewe hata kama ni timu ya daraja la kati