Kagera Sugar 0-1 Young Africa SC | Ligi Kuu Ya NBC | CCM Kirumba Jijini Mwanza

Kama timu yako ilifungwa zaidi ya mara mbili na Mayele basi huwezi mchagua Mayele
Hivi ukiwa mla mihogo ukweli hauwezi kuukubali???? Mayele kiwango kimeshuka sana.. Hilo nalo linaitaji uwe na akili??? Oooh... Nimesahau kumbe haupo kwny wale wawili walio na akili pale utopoloni
 
Kwa hizi tabia za marefa kumeza firimbi tushashuhudia yanga akienda unbeaten hata mechi 300 .hii sio sawa marefa waone aibu basi ,hapa kagera alikuwa anapata penati halali kabisa lakin refa kaona nongwa kutoa penati kwa kagera.Laiti ingekuwa kafanyiwa mayele upande wa pili kule refa angefunika tuta.

Hii ni aibu kwa ligi yetu ,mwenye haki apewe hata kama ni timu ya daraja la kati
 
True
 
Ona hili kolo
 
Azam sports wanatumia muda mwingi kumchambua Clement kana kwamba alicheza peke yake
 
Kwa hizi tabia za marefa kumeza firimbi tushashuhudia yanga akienda unbeaten hata mechi 300 .hii sio sawa marefa waone aibu basi ,hapa kagera alikuwa anapata penati halali kabisa lakin refa kaona nongwa kutoa penati kwa kagera.Laiti ingekuwa kafanyiwa mayele upande wa pili kule refa angefunika tuta.

Hii ni aibu kwa ligi yetu ,mwenye haki apewe hata kama ni timu ya daraja la kati
Cry moreeee
 
Back
Top Bottom