Kagera Sugar wapokonywa pointi 3 na kupewa Simba

Haijawahi tokea hili dunia nzima bingwa kapatikana kwa kupewa point za bure nitanzania pekeee.mpira washinde wengine point wapewe wengine
Inter Milan 2006 walipewa ubingwa wa bure bbaada ya kubainika juve na ac Milan kupanga matokeo.
 
Ningekuwa mmiliki wa Kagera Sugar ningemfukuza mara mmoja kocha na msaidizi wake, meneja wa timu, na mchezaji Mohamed Faki kwa uzembe wao ulioigharimu timu
 
Mwenyekiti wa Kagera sugar amekiri mchezaji tajwa alikuwa na kadi na 3 za njano. Amemtupia lawama mtunza kumbukumbu wao
 
Kweli wewe hamnazo, ni sheria ipi inasema hivyo na imeandikwa wapi kwamba kila jina lazima lianze na herufi kubwa? Kama wewe unajifanya msomi kuliko mimi naweza nikahitaji tuweke vyeti hapa! Maana mimi sioni ugumu wowote kufanya hivyo.
nomino za pekee zote zinaanza kwa herufi ya kwanza kuandikwa kwa herufi kubwa, mambo ya vyeti hayo ni makaratasi tu hata bashite naye anavyo but inreality there same sort of confussion,hilo la kuanza kwa herufi kubwa sio sheria bali ni utaratibu tu kama wewe ambavyo huwezi kuanza kunawa maji kabla ya baba yako wakati wa chakula
 
Ama kweli TFF imehamia simba mhh tutaona mbele huko maana mmebebwa weeeee mpaka mnapewa za mezani
Does Evidence on record support the verdict? Ukijibu swali hilo hutakuwa na malalamiko, likikushinda keep quiet! stop shouting!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…