thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Inter Milan 2006 walipewa ubingwa wa bure bbaada ya kubainika juve na ac Milan kupanga matokeo.Haijawahi tokea hili dunia nzima bingwa kapatikana kwa kupewa point za bure nitanzania pekeee.mpira washinde wengine point wapewe wengine