Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Leo ikiwa ni siku ya Kwanza ya Maandamano ya Amani , ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania , yaliyoandaliwa na Chadema , na ambayo yanatarajiwa kufanyika kote Duniani , Tumejipanga kuunganisha na matukio yote kutoka kote duniani .
Usiondoke JF kwa Taarifa za Uhakika .
========
Tayari mambo yaneanza kuwa makubwa , Hii ni mapema wananchi walipoanza kujikusanya
Hapa ni viwanja vya Mafumbo Center yalipoanzia Maandamano hayo Kabambe ambayo hayajawahi kukusanya umati kama huu tangu Mkoa huo uanzishwe na Nyerere