digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Ujinga mtupu,hata hao wlioandamana naona hawana kazi za kufanya,wanatumika na chadema kama punching bag
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio ajabu maana Kagera ni moja ya mikoa masikini mno licha ya kuwa na wasomi mahiri kadhaa maana hao wanaenda kuishi Dar nk.Nipo hapa ELCT-Bookshop ila maandamano yamedoda bojo
Dodoma wamejazana wanaiombea Nchi hao nao hawana kazi ?Ujinga mtupu,hata hao wlioandamana naona hawana kazi za kufanya,wanatumika na chadema kama punching bag
Namuona Chifu Kalumuna hapo kushoto
Jiwe alimtesa sana huyu jamaa , lakini tunamshukuru Mungu kwa utukufu wakeNamuona Chifu Kalumuna hapo kushoto
Magufuli alisema chapeni kaaaziWAHAYA NA WAKAZI WOTE WA KAGERA, JITOKEZENI KWA WINGI MUONESHE KUILALAMIKIA/CONCERN ZENU KUHUSU MAISHA YENU, kikokotoo, katiba mpya, sheria kandamizi za uchaguzi na zinginezo/ugumu wa maisha ETC ETC ETC... SAUTI ZENU NDIYO KUPONA KWENU. SAUTI ZENU NI KUPITIA MAANDAMANO
Yeye mwenyewe mbona kaacha kazi ?Magufuli alisema chapeni kaaazi
Jiwe alimtesa sana huyu jamaa , lakini tunamshukuru Mungu kwa utukufu wake
Jiwe kang'oka Kalumuna yupo
AmefarikieYeye mwenyewe mbona kaacha kazi ?
Hao hapo!WAHAYA NA WAKAZI WOTE WA KAGERA, JITOKEZENI KWA WINGI MUONESHE KUILALAMIKIA/CONCERN ZENU KUHUSU MAISHA YENU, kikokotoo, katiba mpya, sheria kandamizi za uchaguzi na zinginezo/ugumu wa maisha ETC ETC ETC... SAUTI ZENU NDIYO KUPONA KWENU. SAUTI ZENU NI KUPITIA MAANDAMANO