Kagera : Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Leo ikiwa ni siku ya Kwanza ya Maandamano ya Amani , ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania , yaliyoandaliwa na Chadema , na ambayo yanatarajiwa kufanyika kote Duniani , Tumejipanga kuunganisha na matukio yote kutoka kote duniani .



Usiondoke JF kwa Taarifa za Uhakika .
========
Tayari mambo yaneanza kuwa makubwa , Hii ni mapema wananchi walipoanza kujikusanya



Hapa ni viwanja vya Mafumbo Center yalipoanzia Maandamano hayo Kabambe ambayo hayajawahi kukusanya umati kama huu tangu Mkoa huo uanzishwe na Nyerere



 
WAHAYA NA WAKAZI WOTE WA KAGERA, JITOKEZENI KWA WINGI MUONESHE KUILALAMIKIA/CONCERN ZENU KUHUSU MAISHA YENU, kikokotoo, katiba mpya, sheria kandamizi za uchaguzi na zinginezo/ugumu wa maisha ETC ETC ETC... SAUTI ZENU NDIYO KUPONA KWENU. SAUTI ZENU NI KUPITIA MAANDAMANO
 
Hakika
 
Piga picha ya long short acha kupiga waliojikusanya kwenye jukwaa. Unaficha nini? Piga picha ya eneo lote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…