Kagera : Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

Nipo hapa ELCT-Bookshop ila maandamano yamedoda bojo
Sio ajabu maana Kagera ni moja ya mikoa masikini mno licha ya kuwa na wasomi mahiri kadhaa maana hao wanaenda kuishi Dar nk.
Hao ndio maana hata pamoja na tetemeko bado Magu aliwakebehi na kuwapora misaada yao kwani anajua walivyo. Ni watu wa majidai tuu hakuna kitu
 
Magufuli alisema chapeni kaaazi
 
Wakati anachaguliwa kuwa Mayor alikuja kujificha nyumba nilimokuwa. Nilitoka tuition yake nikafika ndani nikamkuta ila nikashangaa watu wana furaha jumlisha wasiwasi. Nilikuwa na assignments sikufuatilia nikawapuuzia, kesho ndio nikajua amechaguliwa. Ule uchaguzi kama nakumbuka vizuri kata waligawana CCM na Chadema nusu kwa nusu.
Jiwe alimtesa sana huyu jamaa , lakini tunamshukuru Mungu kwa utukufu wake

Jiwe kang'oka Kalumuna yupo
 
Mwananchi akishiriki Maandamano kwa aina ya kipekee pale Maandamano hayo yalipofika eneo la Idara ya Maji

 
Hao hapo!
 

Attachments

  • IMG-20240422-WA0018.jpg
    163 KB · Views: 1
Nimeona kuna dogo wa kijani kajilipua kwa mwenyrkiti wa milele
 
Faida ya haya wanayoyafanya Cdm, ni ya kizazi kijacho. Kizazi hiki cha leo kitajifunza umuhimu wa uhuru na ni wapi sehemu sahihi ya kupaza sauti zao.

Mabango yote yanareflects yaliyomo . Wananchi wasio na simu janja, wanapata fursa ya kushuhudia LIVE nguvu ya umma kipitia maandamano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…