Kagera : Yaliyojiri kwenye Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema

Mkuu bagamoyo nakuona Online , karibu useme neno

Mambo yalikuwa moto sana leo, kwa kihaya waliulizwa "How Long hali hii ngumu kiuchumi, kielimu na kidemokrasia inaweza kuvumilika" CHADEMA inauliza wana wa Kagera, nao wakaitikia imefika kikomo kama kamanda Lt. Jenerali Mayunga na wapiganaji wazalendo waliweza kumtimua nduli Iddi Amin kutoka Kagera kwanini sisi tushindwe ....


View: https://m.youtube.com/watch?v=LRFl1HGn_i8
 
Asante sana
 
Hawa nao,wanadanganya wananchi wajinga wenzao
 
Aisee kwahiyo ili waonekane wao sio maskini ni kujiunga na maandamano? Tanzania ni nchi maskini,je umaskini umesababishwa na watanzania kutoshiriki maandamano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…