Uchaguzi 2020 Kagera: Yaliyojiri mkutano wa Tundu Lissu kusaka Urais wa Tanzania 2020-2025

Uchaguzi 2020 Kagera: Yaliyojiri mkutano wa Tundu Lissu kusaka Urais wa Tanzania 2020-2025

Ila jamani tuache masikhara, Wahaya wanapenda sana KUDINYANA aisee. Kwenye eneo hilo, Wahaya [emoji119][emoji119]. Najua mshkaji wangu Maxence Melo anaweza kuniadhibu ila Msema kweli ni Mpenzi wa Mungu, nami nimechagua kuwa Mpenzi wa Mungu
😂😂😂😂😂 kudinyAna
 
Katika lile tulilojua toka mwaka 2017, mkoa wa Kagera una lake jambo juu ya CCM na Rais Magufuli.

Ni mkoa ambao ulipata tetemeko, watu wakahitaji faraja kutoka kwa mfariji mkuu wakaishia kuambulia maneno ya kukereketa na kejeli.

Wana Kagera walipoomba Chakula wakaambiwa serikali haina shamba.

Walipoomba msaada wakaambiwa kwani serikali ndiyo iliyoleta tetemeko?

Kisha wakaishiwa kukejeliwa kuwa kwani huo mkoa una nini, Ukimwi kwao, Tena kuna mto ngono na kijiji kinachoitwa Katerero (yote hii kumaanisha kuwa ni watu wapowapo tu wanaopenda chini).

Sasa kaenda kule mtetezi wa Wanyonge Tundu Lissu, mapokezi aliyoyapata katika vitongoji vya huko ni makubwa ajabu.

Lissu alianzia Nyakanazi, akaja Ngara akaenda Kyerwa.

Kwa kweli mapokezi aliyoyapata huko utadhani ni Jenerali wa Kijeshi aliyeongoza mapambano ya kukomboa maeneo hayo.

Hii ni rasharasha tu bado hajaingia Bukoba mjini.

Kiufupi, kwenye mkoa wa Kagera, CCM hawana chao. Wahaya hawapendi dharau!

Hapa chini ni mapokezi ya Lissu huko Kyerwa!

View attachment 1576849
Mtoa maada nakutadharisha mapema kwamba kuna maisha baada ya uchaguzi. Hivyo jaribu kutunza hayo maneno yako. Kwa maana maisha yako yatakua ya stress Sana siku zijazo.
 
Naona CCM imeamua kuajiri mamluki kuja kushinda humu JF.
 
Huyo lisu wenu anaingia mara ngapi hapa?
[emoji116][emoji116][emoji116]
20200814_164053.jpg
 
Lissu the President
Yaan ,nimecheka sanaaaa!!Sehemu ambayoLissu anapata mapokezi mazuri ,tayari .Lissu for President. Naona Kigoma kimya,Geita hatukuona hats picha.Nafikiri tutumie hakiri tu.Amepata mapokezi makubwa mikoa mingapi?Kati ya 26?
 
Katika lile tulilojua toka mwaka 2017, mkoa wa Kagera una lake jambo juu ya CCM na Rais Magufuli.

Ni mkoa ambao ulipata tetemeko, watu wakahitaji faraja kutoka kwa mfariji mkuu wakaishia kuambulia maneno ya kukereketa na kejeli.

Wana Kagera walipoomba Chakula wakaambiwa serikali haina shamba.

Walipoomba msaada wakaambiwa kwani serikali ndiyo iliyoleta tetemeko?

Kisha wakaishiwa kukejeliwa kuwa kwani huo mkoa una nini, Ukimwi kwao, Tena kuna mto ngono na kijiji kinachoitwa Katerero (yote hii kumaanisha kuwa ni watu wapowapo tu wanaopenda chini).

Sasa kaenda kule mtetezi wa Wanyonge Tundu Lissu, mapokezi aliyoyapata katika vitongoji vya huko ni makubwa ajabu.

Lissu alianzia Nyakanazi, akaja Ngara akaenda Kyerwa.

Kwa kweli mapokezi aliyoyapata huko utadhani ni Jenerali wa Kijeshi aliyeongoza mapambano ya kukomboa maeneo hayo.

Hii ni rasharasha tu bado hajaingia Bukoba mjini.

Kiufupi, kwenye mkoa wa Kagera, CCM hawana chao. Wahaya hawapendi dharau!

Hapa chini ni mapokezi ya Lissu huko Kyerwa!

View attachment 1576849
Hongera kwa mapokezi makubwa,
Ila ni.kwamba kwa nini online Chanel yenu chadema mnafunga sehemu ya comment mnaogopa nini kuwaachia wachangiaji tuone wamepokeaje maoni yenu?
Pamoja na kujaza kote bado mnaogopa kusoma maoni ya watu? Hamuoni hili Lina nyuma watu uhuru kama mnavyosema watu wawe huru.
2 nimefatilia mikutano yote y lisu pale anapokuta changamoto ya barabara anaanza kuzungumzia uwanja wa Chato, sasa hiyo pesa ya uwanja unaweza kujenga barabara zote tanzania kila anapoenda?
Mimi nadhani hiyo pesa ya uwanja haiwezi kujenga zaidi ya KLM 40 sasa hizo zitatatua ubovu wa barabara nchini, au siasa tu.
 
Uchaguzi ukiwa wa wazi, huru, na kweli bila WIZI, ccm sidhani kama watakuwepo tena ktk uso wa dunia!
Uwazi gani sasa wewe unaoutaka?

Jiandaeni kushuhudia ushindi wa kihistoria atakaoupata JPM,

CCM 5 Tenaa
 
Yaan ,nimecheka sanaaaa!!Sehemu ambayoLissu anapata mapokezi mazuri ,tayari .Lissu for President. Naona Kigoma kimya,Geita hatukuona hats picha.Nafikiri tutumie hakiri tu.Amepata mapokezi makubwa mikoa mingapi?Kati ya 26?

Hukuona za Kigoma?
Labda uliishiwa bando
 
Uchanguzi hauko huru wala haki hakuna na Hilo halijawahi tokea kwenye demokrasia kipofu ya Tanzania.. watanzania wanahitaji mabadiliko Jambo ambalo utawala hawako ayari
 
Ufipa wanapenda kujifariji sana. Unamuondoaje Magu magogoni ya Dodoma?
 
Back
Top Bottom