Uchaguzi 2020 Kagera: Yaliyojiri mkutano wa Tundu Lissu kusaka Urais wa Tanzania 2020-2025

Uchaguzi 2020 Kagera: Yaliyojiri mkutano wa Tundu Lissu kusaka Urais wa Tanzania 2020-2025

Kwamba afute uchaguzi????
JF kuna homa Kali ya mihemko.Inabidi homa hii itibiwe haraka tarehe 28/10.Yaan ,wakiona umati mkubwa wa kumsikiliza Lissu.Wanahamini kuwa wanamsapoti Lissu.Lakini watu hawahawa walikuwepo kwa Magu.Tuwapongeze tu ,wananchi wa Tanzania kuwa wanapenda kusikia Sera. Kupiga kura in kitu kingine ,kuhudhururia mkutano kitu kingine
 
sitashangaa jiwe akajitoa na kususia uchaguzi

Lissu kashikilia koromeo...no pumzi
Simama wima, kunja ngumi mkono wako wa kuume halafu jipigepige kifuani huku ukisema "mimi ni kiazi namba moja Tanzania".
 
Simama wima, kunja ngumi mkono wako wa kuume halafu jipigepige kifuani huku ukisema "mimi ni kiazi namba moja Tanzania".

'jiwe ni kiazi namba moja Tanzania'

umeridhika? au niongeze volume
 
Hawa ni watu waliotoka majumbani kwao kwa shauku yao, bila ya kusombwa, bila ya kulazimishwa, kwa gharama zao, shule hazijafungwa - angalia walivyochangamka, linganisha na wale wanaosombwa na kulazimishwa kuhudhuria mikutano ya Magufuli ili waongeze idadi ya vichwa.

Mwenye macho haambiwi tazama.

Ole wao NEC na CCM waibe kura, watajuta kuzaliwa. Ole wao Polisi wapige mtu, wajeruhi au waue, watajuta kuzaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleeni kujifariji kwa vipichapicha vya raia wanaokwenda kumshangaa Lissu.
 
Pia ni fisadi kupitia Mayanga construction!
Naomba Lissu akishachukua nchi aunde tume ya kuchunguza hii kampuni ni jinsi gani ilivyokuwa ikipata tenda na kwanini haikamilishi kazi kama mikataba inavyotaka na hakuna hatua yoyote iliyokuwa ikichukuliwa.
Mwiba wa ufisadi umepatikana. Viva viva Tundu Lissu
 
JF kuna homa Kali ya mihemko.Inabidi homa hii itibiwe haraka tarehe 28/10.Yaan ,wakiona umati mkubwa wa kumsikiliza Lissu.Wanahamini kuwa wanamsapoti Lissu.Lakini watu hawahawa walikuwepo kwa Magu.Tuwapongeze tu ,wananchi wa Tanzania kuwa wanapenda kusikia Sera. Kupiga kura in kitu kingine ,kuhudhururia mkutano kitu kingine
Na je wale wanaosombea na magari na wafanyakazi wa umma kulazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CCM unasemaje?
Hao wamejipeleka wenyewe wala hawajanunuliwa tshirt wala kofia wala kupeea buku tano tano matawini.
 
Mtaji wa CCM ni ujinga wa Watanzania.
Na ndiomana wanaendelea kudumaza elimu ili waendelee kukuza ujinga nchini kwa faida yao. Nijuacho wasomi na wenye weredi wapo CCM kwa matumbo yao na mengi hawaafikiani nayo ila ndio hivyo HOFU imewatanda.
Ushujaa wao dhidi ya hofu yao watauonesha siku ya tar 28. "Akiwa peke yake, na peni mkononi hakuna anayemwangalia, akiwa na karatasi yenye wagombea wa nafasi ya urais wa JMT either Lissu or Magu. 😊😊
 
Yaan ,nimecheka sanaaaa!!Sehemu ambayoLissu anapata mapokezi mazuri ,tayari .Lissu for President. Naona Kigoma kimya,Geita hatukuona hats picha.Nafikiri tutumie hakiri tu.Amepata mapokezi makubwa mikoa mingapi?Kati ya 26?
Hivi Magufuli ni wapi alipopata watu wengi walioenda wenyewe? Hakuna hata sehemu moja. Mimi nipo Mwanza. Nguvu iliyotumika kuwapata watu wahudhurie mkutano wa Mwanza, usiambiwe.

Zaidi ya 60% walikuwa wanafunzi waliolazimishwa kuhudhuria wakiwa hawana uniform. Zaidi ya 30% walisombwa toka wilaya zote za mkoa wa Mwanza, hasa maeneno ya vijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom