Uchaguzi 2020 Kagera: Yaliyojiri mkutano wa Tundu Lissu kusaka Urais wa Tanzania 2020-2025

Uchaguzi 2020 Kagera: Yaliyojiri mkutano wa Tundu Lissu kusaka Urais wa Tanzania 2020-2025

Duh ,huyu dogo wakati flani iliwahi kuripotiwa amemkamata Baba yake kwa kosa la kutaka kuuza Ardhi..Mkuu hebu tuwekee sawa.
Yeah uko sahihi kwa mara ya mwisho alichukuliwa akenda nadhani Same huko kusoma secondary. Alidhaminiwa. Kutokea pale sijaskia tena habar zake.
 
Mkuu asante sana kwa taarifa, japo naendelea na kazi huku nimetega sikio huko kusikia kile Rais wetu huyu anasema.....Mungu amlinde na kumpa afya njema !

Amen Amen Amen [emoji120]
 
Tundu Lissu asiache kugusia kidogo kifo cha Mama Kabendera.
 
Acha kupotosha umma wewe na wale waliosimamisha msafara wake kuanzia Kisesa, Igoma, Buzuruga hadi mabatini walisombwa na magari.


Yaani safari CDM jiandaeni kisaikolojia mkipata wabunge zaidi ya 5 itakuwa maajabu sana .
Msafara wa rais unavyotembeaga speed ya hatari,ulinzi wa kutosha mpk helikopta juu huku mbele kukiwa na magari yanayosafisha njia ni mwananchi gani mwenye uwezo wa kusimamisha msafara huo?
 
Usidanganyike!

Wahudhuriaji wengi wa mikutano ya Magu ni watu waliosombwa toka wilaya na vijiji vya jirani. Husombwa kwa mabasi, malori na matrekta.

Ni watu wachache sana wanaohudhuria mikutano ya Magu ambao ni wakazi wa eneo husika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao hao wanaosombwa ndio wanakwenda kumpa kura nyingi sana.

Halafu wapo mamilioni ya wapiga kura ambao hata huko kwenye mikutano huwezi kuwaona, wao wanasubiri tarehe 28 wakatimize wajibu wao.
 
Back
Top Bottom