residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Uongo u wapi?Acha Uongo!View attachment 1576980
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo u wapi?Acha Uongo!View attachment 1576980
MSIKILIZE HUYU DOGO TAYARI AMESHAHARIBU HALI YA HEWAKuna Nini jamani
MSIKILIZE HUYU DOGO TAYARI AMESHAHARIBU HALI YA HEWA
Yeah uko sahihi kwa mara ya mwisho alichukuliwa akenda nadhani Same huko kusoma secondary. Alidhaminiwa. Kutokea pale sijaskia tena habar zake.Duh ,huyu dogo wakati flani iliwahi kuripotiwa amemkamata Baba yake kwa kosa la kutaka kuuza Ardhi..Mkuu hebu tuwekee sawa.
Mkuu asante sana kwa taarifa, japo naendelea na kazi huku nimetega sikio huko kusikia kile Rais wetu huyu anasema.....Mungu amlinde na kumpa afya njema !
Msafara wa rais unavyotembeaga speed ya hatari,ulinzi wa kutosha mpk helikopta juu huku mbele kukiwa na magari yanayosafisha njia ni mwananchi gani mwenye uwezo wa kusimamisha msafara huo?Acha kupotosha umma wewe na wale waliosimamisha msafara wake kuanzia Kisesa, Igoma, Buzuruga hadi mabatini walisombwa na magari.
Yaani safari CDM jiandaeni kisaikolojia mkipata wabunge zaidi ya 5 itakuwa maajabu sana .
kwani umekasirika?Naona muna farijiana hapo.
Tanzania, upinzani bado haujawa na nguvu hiyo munayo aminishana.
Itachukua miaka 50 kuitoa CCM madarakani.
Hao hao wanaosombwa ndio wanakwenda kumpa kura nyingi sana.Usidanganyike!
Wahudhuriaji wengi wa mikutano ya Magu ni watu waliosombwa toka wilaya na vijiji vya jirani. Husombwa kwa mabasi, malori na matrekta.
Ni watu wachache sana wanaohudhuria mikutano ya Magu ambao ni wakazi wa eneo husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahaya hawataki mchezo ,piga chini ccm.Kuna Nini jamani