Uchaguzi 2020 Kagera: Yaliyojiri mkutano wa Tundu Lissu kusaka Urais wa Tanzania 2020-2025

Mungu amlinde askofu Bagonza

Dah naomba Leo niwe mdini kidogo. Waislam tunakosea wapi aisee. Haitawahi tuje kuwa na mBakwata hata mmoja atatoa Maneno km haya. Hapa akili nyingi sana imetumika. Hata msikilizaji unatakiwa uwe na akili ya ziada uweze kujua huyu bishop anamaanisha nini.

Bakwata full kuchumia tumbo. Akili zimedumaa. Kazi kuiba mali za waislam. Kujenga hoja ndio kwanzaa hata hawawez.
 
Hili nalo neno
 
MSIKILIZE HUYU DOGO TAYARI AMESHAHARIBU HALI YA HEWA
Ni kama dodo alimaanisha kwamba Yeye binafsi anamfahamu Magu kwa kuwa ni Raisi wa Tanzania na asiyelijua hilo labda ni Mrundi.....Ni clip ya kitambo enzi za kesi ya dogo na dingi yake kuuza shamba....BTW [emoji111][emoji3]
 
*AIBU! ASKOFU KKKT APIGA MIMBA MBILI NJE YA NDOA*
on April 20, 2015

Joseph Ngilisho, Arusha
Aibu! Peace Sylvester (36), mkazi wa Kijenge Juu jijini hapa amefungua madai mazito kwenye Kituo Kikuu cha Polisi, Arusha kwa majadala mawili, AR/RB/4404/2015 KUTISHIA KUUA KWA MANENO na AR/RB/5290/2015 KUTELEKEZA FAMILIA dhidi ya Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza.

Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Kagera, Benson Bagonza.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda jijini hapa katikati ya wiki iliyopita, Peace alidai Askofu Bagonza ni mzazi mwenzake kwa kuzaa naye watoto wawili, Piana Bagonza (6) na Bariki Bagonza (3) lakini akadai amemtelekeza hivyo kuwa na maisha magumu katika kuwalea watoto hao.

AANIKA HISTORIA NDEFU
Peace alisema alianza kufahamiana na askofu huyo mwaka 2006 mjini Karagwe, Kagera akiwa ni muumini wa kanisa hilo akimtumikia Mungu kwa kuimba kwaya ya kanisa.
Alisema katika kuonana mara kwa mara na askofu huyo ndipo uhusiano ukaanza lakini kwa makubaliano ya kutunza siri.

“Askofu aliniambia ana mke lakini ananipenda na anataka kuwa na uhusiano na mimi. Aliniahidi kunisaidia masuala mbalimbali iwapo nitamkubalia.“Baada ya muda niliamua kumkubalia, tukawa na uhusiano na tulikuwa tunakutana mara kwa mara. Ilipofika mwaka 2008 nikapata ujauzito wa mtoto wa kwanza,” alisema Peace.

AHAMIA ILEMELA, MWANZA
Mwanamke huyo aliendelea kudai kuwa, baada ya kupata ujauzito, askofu huyo aliamua kumhamishia Ilemela mkoani Mwanza na kumpangishia chumba ambapo mwaka 2009 alijifungua mtoto wa kike, Piana.

AHAMIA ARUSHA
Peace aliendelea kudai: “Mtoto wangu alipofikisha umri wa miaka miwili, yaani mwaka 2010, askofu alinihamishia hapa Arusha na kunipangia chumba eneo la Kijenge Juu na kunitafutia kazi kwenye Hoteli ya Safari (New Safari Hotel). Hii hoteli inamilikiwa na KKKT.” Alisema: “Askofu alikuwa akija hapa Kijenge kumsalimia mtoto na kumwachia matumizi mbalimbali huku akisisitiza kutunza siri zaidi.”

Peace anayedai kutelekezwa pamoja na watoto na Askofu Benson Bagonza.

ANASA MIMBA YA PILI
“Ilipofika mwaka 2011 nilipata ujauzito mwingine wa askofu ila cha kushangaza nilipomfahamisha aliniambia hataki kusikia taarifa hizo.“Niliweka msimamo wa kutotoa ujauzito na yeye akasitisha huduma mbalimbali ikiwemo fedha za malipo ya chumba alichonipangia.

“Alianza kunipigia simu na kunitisha kuniachisha kazi aliyonitafutia hotelini bila kupewa malipo yoyote. Alikuwa akinitumia watu mbalimbali kunitishia maisha. “Kutoka na hali hiyo nililazimika kumtafuta kiongozi mmoja wa ngazi ya juu kanisani na kumwambia jinsi askofu alivyonitelekeza kwa zaidi ya miaka minne bila kunihudumia nikiwa na watoto wake wawili.

“Hata hivyo, kiongozi huyo aliniambia atalishughulikia suala langu, lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea na nikimkumbusha amekuwa akinijibu kwa ukali na kunikatia simu.”

WATOTO HAWAENDI SHULE
Peace alisema: “Kwa sasa naishi kwa shida na watoto. Hawaendi shule baada ya kukosa ada.”

Watoto anayedai kutelekezwa nao.

ASKOFU NA IJUMAA WIKIENDA
Akizungumza kwa simu na gazeti hili huku akihifadhiwa sauti, Askofu Bagonza alikiri kumtambua Peace kama mzazi mwenzake ila alisema si kweli kama hamtumii matumizi.“Mbona fedha huwa namtumia labda ameamua kunichafua tu. Hata juzi nimemtumia shilingi 250,000 iweje asema simhudumii?” alisema askofu huyo na kukata simu.

Kwa upande wake, Peace alipoulizwa kuhusu kutumiwa kiasi hicho cha fedha, alisema: “Fedha hizo nilizipokea kutoka kwa wakala wa M-Pesa baada ya jambo hilo kulifikisha kwenye vyombo vya dola (polisi).”Taarifa zilizolifikia gazeti hili wakati linakwenda mitamboni zilieleza kuwa mwanamke huyo ameitwa Karagwe kwenda kuongelea suala hilo.
 
Mataga mnateseka sana sasa hivi, na mateso haya na maumivu yataongezeka kadiri muda unavyokwenda. Mbona jiwe kazaa na mke wa mtu hamsemi? Ya Bagonza ndio mmeona myatoe leo ili iweje? Kwani yeye anagombea jimbo gani? Kura za Lissu zina uhusiano gani na Bagonza?
 
Lumumba ndo mmeamua kuja na uharo huu baada ya nondo za askofu Jana ,yaan askofu Bagonza ni sawa na maaskofu wote wanaoandaliwaga semina na ccm pale dsm
 
Hivi Magufuli ni wapi alipopata watu wengi walioenda wenyewe? Hakuna hata sehemu moja. Mimi nipo Mwanza. Nguvu iliyotumika kuwapata watu wahudhurie mkutano wa Mwanza, usiambiwe.

Zaidi ya 60% walikuwa wanafunzi waliolazimishwa kuhudhuria wakiwa hawana uniform. Zaidi ya 30% walisombwa toka wilaya zote za mkoa wa Mwanza, hasa maeneno ya vijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
uku malimbe magari yakitolewa bure kubeba wanachuo..
Afu wanajisifia wakt watu walienda fiesta
 
Dah naomba Leo niwe mdini kidogo. Waislam tunakosea wapi aisee. Haitawahi tuje kuwa na mBakwata hata mmoja atatoa Maneno km haya. Hapa akili nyingi sana imetumika. Hata msikilizaji unatakiwa uwe na akili ya ziada uweze kujua huyu bishop anamaanisha nini.

Bakwata full kuchumia tumbo. Akili zimedumaa. Kazi kuiba mali za waislam. Kujenga hoja ndio kwanzaa hata hawawez.
BAKWATA ni wezi mafisadi na wafitini
 
Endelea kujifariji tu.
Nadhani unajua kuwa upinzani ni kikundi cha maigizo tu kama Fukuto.
Hata mimi nilisha jitoaga ufaham 2005, kuwashabikia hao wasaka Ruzuku ya vyama vyao, lakini baada ya ufaham kunirudia, nimeona ningoje kwanza miaka 50 ijayo ndio nifikirie kuwashabikia hao wasaka tonge.
Miaka 50 ijayo utakua umekufaga siku nyingi!
 
Katika lile tulilojua toka mwaka 2017, mkoa wa Kagera una lake jambo juu ya CCM na Rais Magufuli.

Ni mkoa ambao ulipata tetemeko, watu wakahitaji faraja kutoka kwa mfariji mkuu wakaishia kuambulia maneno ya kukereketa na kejeli.

Wana Kagera walipoomba Chakula wakaambiwa serikali haina shamba.

Walipoomba msaada wakaambiwa kwani serikali ndiyo iliyoleta tetemeko?

Kisha wakaishiwa kukejeliwa kuwa kwani huo mkoa una nini, Ukimwi kwao, Tena kuna mto ngono na kijiji kinachoitwa Katerero (yote hii kumaanisha kuwa ni watu wapowapo tu wanaopenda chini).

Sasa kaenda kule mtetezi wa Wanyonge Tundu Lissu, mapokezi aliyoyapata katika vitongoji vya huko ni makubwa ajabu.

Lissu alianzia Nyakanazi, akaja Ngara akaenda Kyerwa.

Kwa kweli mapokezi aliyoyapata huko utadhani ni Jenerali wa Kijeshi aliyeongoza mapambano ya kukomboa maeneo hayo.

Hii ni rasharasha tu bado hajaingia Bukoba mjini.

Kiufupi, kwenye mkoa wa Kagera, CCM hawana chao. Wahaya hawapendi dharau!

Hapa chini ni mapokezi ya Lissu huko Kyerwa!

View attachment 1576849
Wana ccm wenzangu m record vizuri anachokiongea huyu jamaa, ili mgombea wetu Magufuli aandae nondo za kumjibu.
 
Yaan ,nimecheka sanaaaa!!Sehemu ambayoLissu anapata mapokezi mazuri ,tayari .Lissu for President. Naona Kigoma kimya,Geita hatukuona hats picha.Nafikiri tutumie hakiri tu.Amepata mapokezi makubwa mikoa mingapi?Kati ya 26?
Hakiri?? Una akili kweli wewe? Hakiri ndio nini??
 
Back
Top Bottom