Kagoda: Ni Rostam

Kagoda: Ni Rostam

Halafu kwa mtindo huu tunasema tutapambana na ufisadi!!!. Ni kazi ngumu kweli kweli na hasa pale viongozi waliokaa matawi ya juu nao wanaposemekana walihusika katika wizi huu. Kuifikisha Kagoda mahakamani ni sawa na serikali kujishitaki yenyewe. Mimi nigeshauri Meshimiwa Kabwe kwa kuwa anasema na ushahidi (inawezekana alipata hizo documents kabla hazijaibiwa) basi kupitia chama chake wafungue mashtaka dhidi ya Kagoda.

Shida tunataka haki itendeke la sivyo hata hao wengine wanaoshtakiwa waachiwe huru basi!!!!! Inasikitisha!!!!!
 
Duh, maskini sisi watanzania- bao waziwazi!
Kama haiwezekani, angalau wawafunge walioshiriki kupoteza nyaraka brela na benki, kwa kutumia vibaya ofisi zao au kitu kama hicho.

Nakuunga mkono, na zaidi ya hapo wanataka kutueleza nini tukiweka pesa bank, halafu unakuta documents zako zimebadilishwa au huko BRELA
 
Watawala wanajitahidi kujinasua kutoka mzimu wa Kagoda, ni harakati za kukimbia kivuli chao wenyewe. Swali ni kuwa Je, watafanikiwa? Ikiwa watafanikiwa basi natabiri Watanzania tutakuwa hatuna Uongozi bora kabisa na hakika watatuchezea kadiri wanavyotaka.
 
Dear ELUSIVE, shida kubwa ni kulindana. Katika kulindana watendaji wa vyombo nyeti kama DPP, Usalama wa Taifa na TAKUKURU wapo tayari kuwatoa mhanga hata wasiohusika ili mraid waonekane wamefanya kweli. Hao waliotolewa mhanga wakifanikiwa kujinasua basi bahati yao, lakini ilivyo kawaida, penye ukweli siku zote uongo huyeyuka. Na hao tunaowafikiria ni wezi wa EPA kama tulivyoaminishwa wanaweza kweli kuwa wamesingiziwa tu. Ningekuwa JK, kama vile nilivyomwadibisha Balalli, next ningewatia kashikashi manaibu wake niteremke chini mpaka niwakute na hao wadogo, hapo hakuna wa kuficha mambo. Wewe unamwacha Naibu Gavana aliyekuwa karibu na Mkubwa, unamwacha Wakurugenzi wa Pesa, Audit, Economic Policy, Secretary Wa Bank, unawadaka hao wadogo, unafikiri haya magwigi watakuwa wanabaki huko Benk wakiwa wanasubiri tu, wanaiba makabrasha yote....jamani watanzania tunavyoonewa, lakin siku i yaja!
 
Watawala wanajitahidi kujinasua kutoka mzimu wa Kagoda, ni harakati za kukimbia kivuli chao wenyewe. Swali ni kuwa Je, watafanikiwa? Ikiwa watafanikiwa basi natabiri Watanzania tutakuwa hatuna Uongozi bora kabisa na hakika watatuchezea kadiri wanavyotaka.

Kagoda haifutikiki kirahisi hivyo ila tukubaliane kuwa ni pending issue kama nyumba za serikali zilizouzwa kifisadi, tatizo nikwamba hapo baadaye pending issues will accumulate to the pick and there will be no tolerance and no priority!
 
Mafisadi wajue maisha ya DUNIA ni maisha ya kupita...kwanza watenge muda kujiuliza kwanini watu wanakufa....?

Wajiulize wapo wapi watawala waliokuwa na Nguvu, Mali na sasa hawapo tena?
Yupo wapi..Nyerere, Yupo wapi kwame Nkrumah, Yupo wapi Mobutu?, Yupo wapi Gamal AbdulNasir? Yupo wapi Catro(Yu Hoi kitandani...)..Yupo wapi Sharooun( kufa hafi na mateso ya DUNIA anayapata...)..Yupo wapi Hitler?...nimetaja mifano mbalimbali kuonesha kuwa Uongozi una mwisho...na MJUE DHULMA HAIDUMU...!!!

Watanzania ambao leo hii mnawaibia ipo siku watasema basi kudhulumiwa!!!

Na sisi walala hoi je? Yuko wapi Isengwa, yuko wapi Shamugila? Na Igembensabo? Sisi tutakuwa wapi? Tutakuwa tumekufa vile vile..

Kwa hiyo ni muhimu kupambana nao sasa hivi, vyovyote iwezekanavyo.
 
Nakubaliana na mapendekezo ya kuwataka wabunge walishikie hili suala bango. Tumeshaona kwamba hii serikali haifanyi jambo lolote la maana bila ya kuwekewa pressure. Sasa inabidi kuwapa pressure JK na timu yake ili wawapele mahakamani watendaji wa benki(NBC or CRDB) ambayo ilipitisha fedha za Kagoda na sasa wamepoteza records zake. In the same court case inabidi ashtakiwe mkurugenzi na watendaji wakuu wa BRELA kwa kutowajibika mpaka "KURUHUSU" kupotea kwa records za uandhikishwaji wa kampuni ya KAGODA. Once we have these puppets on the hotseat, then we'll know who their puppet masters are, in names and on the record!

Huyu mburushi Rostam Aziz asitake kutufanya watanzania wote ni wajinga. Wajinga ni hao wachache tuliowakabidhi majukumu ya kulinda maslahi ya nchi yetu na kisha wakaenda kinyume cha viapo walivyokula. We really need to buy a Guillotine and put it to work at once.
 
Ni jambo ambalo haliingii akilini kabisa wakisema document hazipo za kuweza kuwashitaki Kagoda.Swala la kujiuliza je hizo fedha zilitolewaje bila ya kuwa na kumbukumbu yoyote kuanzia msajili wa viwanda, mabenki husika na hata Benki kuu. Kuna hujuma inaendelea hapa.Kinachotakiwa kufanywa ni kuwashitaki wote wale waliopewa dhamana ya utunzaji wa kumbukumbu wa asasi zote husika. Vile vile watendaji wakuu wa asasi husika kwa uzembe walioutenda mpaka nyaraka muhimu kama hizi zikapotezwa na wafisadi. Kama iliwezekana kwa JK kumsitisha kazi aliyekuwa gavana mkuu wa benki kuu je iweje vigumu kuwashikisha adabu hawa wausika wengine kwenye hizi asasi? Na wele wote wenye ushaidi wa kutosha kwanini wasishirikiane na DPP au wawaburuza hawa Mafisadi mahakamani ?
 
I predict this is it. It the start of the public and open defiance for the day time oppressions in Tanzania and the falling of those who plan to keep the ordinary Tanzanian down down and down.

Unajua, uzuri ni huu mmoja. Huwezi mweka binadamu chini for too long. History imeprove hiyo time and again. Hizi statement za serikali ya JK au vyombo vyake vya sheria, ni lazima vitabadili huu msimamo. Kama ambayo statement za JK zilivyochukuliwa kuwa mafisadi hawatoshitakiwa na baadae wameanza shitaki, na hili nalo litageuzwa, pamoja na ukweli kuwa JK hakutamka hatoshitaki mtu. Yeye alisema sheria ichukue mkondo. Hapo ni sawa.

Ila kwa hili la Kagoda, ni sheria gani na utaratibu gani wa sheria ambao unahakikisha the weakest in the society maslahi yao yanaachwa bila kusimamiwa kisawasawa?

Uongozi usichukulie ukimya wa Watanzania kama ni muda wa kufunika mambo mbio mbio! Yataibuka tuu. Ninaamini kuwa kwa Watanzania umefika wakati wa kujiunga kama waasisi wetu akina Nyerere na Kambona walivyofanya wakati wa kuda self government of independence from the UN/British. Muda wa kudai kujikomboa kutoka kwenye Ubeberu wa Watanzania wenzetu ndio huu. Huu ni uonevu ambao unazidi hata ule wa Tanganyika under the Trusteeship ambapo wakati ule tulisema ni Ukoloni. Leo hii tuseme ni nini??

Tunahitaji mwito na tuweze kuuitikia wote tukiwa well organized not under any political slogans to take offices, but for the grassroot movements which will have all people employed in several places kama watumishi mbalimbali na pia wafanyabiashara, wakulima, kila mtu wa kila rangi, dini, hulka etc and wote we simply have to work for Tanzania. Not working for CCM or Chadema or any political party or any part of the country. Simply working to ensure nchi inakuwa na Utawala wa Kisheria, hilo ndio lengo.

As Dr Martin Luther King had a dream in those year, I have a dream for my mother country and people of my country. Muda utakuja kwa sisi kuweza kuwa na Tanzania ilio huru kutoa maoni bila kuogopa usalama wa taifa kukufuata na kuwafuata ndugu na jamaa zako, Tanzania yenye mahakama zenye meno, na Taasisi zenye nguvu na zinazojitegemea bila kuogopa chama tawala na financiers wake watafanya nini! Ni kweli, wajumbe hapa wa JF may never get there to the promise and ideal state, but Tanzania will get there. The urgent time is now for the Tanzanians all over and wherever we are, to say ENOUGH! Enough is enough. Do NOT embrace or embark on any criminal activities or any sabotage but start to think how you can help your country constructively. It is so easy for people to say anzisha Chama or join them or any of that! No, watu wote tuache hiyo philosophy. Tujiulize ni nini tunataka kufanya kupiga vitu huu uonevu wa wazi na tufanye kwa Amani bila kutumika kama mtu wa chama chochote kile. Tujitume kama mtu wa Tanzania. We owe this to ourselves, our parents and our future generations. We owe this to all peace loving people. Hii ni issue ya Utawala bora kwa kupitia grassroot movement and should cross all borders from Mtwara to Pemba To Zanzibar, Mafia to Bukoba and Musoma. East., West, North and South. We need to start think real hard. The time is coming to start thinking of getting out of these emails, digital only, nicknames and the like. Steadily we need to get behind those out there doing the brave work of chasing these Mafisadi na kuwaumbua. It will take time, but let us start getting out there to organize wenzetu on the ground for the grassroot movement. Just that we can only do this via such medium, demonstrates how unsafe things are and or can be, but we need to ask ourselves, for how long?? Circumstances are forcing people to become actives in areas that we would have decided not to. The current way of things is radicalizing Tanzanians. I am hoping and praying that this radicalism will transform into a good cause to make the rights and ensure the fair and rule of law for all Tanzanians, irrespective of race, dini, kabila etc

This is not looking for braves, we simply need to think how in our own ways where we are, as a starting point, utafanya nini muda ukikuita as a calling? Generation ya Mwalimu ilileta self government and Uhuru, hapa katikati wasomi watawala wetu wamevurugikiwa kiasi juu ya Ujamaa na Ubebari hadi kusahau kabisa Utawala wa Usawa na Haki Sawa kwa wote - kumbuka ndio kilio cha awali cha TAA and then TANU! It is our time to contemplate and come off the cold.

Speak to your Wabunge, Andika Letters, kwa majina na bila majina. Tutumie media. Vijarida vya Mwanakijiji etc, Kama Uko nje ya Nchi watumie wawakilishi wa Mabunge ya Nchi Mlizopo reporti zote za Ufisadi Bongo ili waulize maswali huko kwenye Mabunge yao, Tumeni kwenye Vyombo vya habari vya nyumbani na haya vya nje ya nchi. Tupige kelele kila mtu kwa njia moja au nyingine. Huu sio uchochezi, ni kuumizwa na kutokuwa na njia kwani mfumo uliopo unashindwa kutulinda na hata vyama mbadala havina majibu. Majibu yako kwetu sie kama Watanzania, period.

Wanasheria wenye kujua machambuzi wayanfanye. Kuna chain of events and kama vidokeza vimepotea ila ukweli upo, basi woote waliopoteza waburuzwe mahakamani na waote ushaidi wao. Kwani unatoafuta ushaidi usio kwenye makaratasi wanafanyaje? Utashangaa wanakamata watu tunaoandika humu tena kwa majina bandia na bado wanawachimbia mkwara ila leo hii wanasena hawawezi hao eti wakubwa? Nani mkubwa zaidi ya Mungu? Uzuri ni kuwa Tanzania yetu familia ambazo zilikuwa au zina mali za kuogopesha toka wakati wa Uhuri ni chache mno mno. Wengi wa karibuni ni kutokana na njia za mikato. Hivyo,, hao akina Wafalme na Malikia self made, their time is up. Hata majemadari wa TPDF ni wa Tanzania kwa ajili ya Tanzania. Sio kwa ajili ya hawa Watu Mungu! Na wanasikia vilio vyetu watu wa kawaida na wanasoma hizi taarifa. Utawala wa sheria ni kilio cha kila Mtanzania, katika kila kazi -watu woote woote. Haiwezekani club ya watu wachache watumalize wote! This change must come if all will think and do something in their own capacity. Fight the enemy here fron all fronts - kumbuka unajenga na kutetea sheria hivyo usiwe mbele kuvunja sheria.

THINK and THINK hard and do your part.
 
Who is the enemy of the people of Tz. To fight the enemy we have first to know the enemy. Since I believe strongly that most of us are not agreed as to who the real enemy is, it would be a wasted effort to even start a fight - against whom ? My question to all and sundry is therefore but terse and short - who is the real enemy of the people of Tanzania ?
 
The enemy of Tanzania is not a person nor an institution. The enemy is the system which is made from ground up. The values ingrained in the system, the culture, the attitudes etc are full of corruption, and grand corruption tendencies.

Uroho wa madaraka!. If everybody fights this, nothing is impossible. I get your take, that perhaps some kind of organized way of doing all these, hence perhaps chama cha siasa kati ya vilivyopo. But I see wrong priortities in most, though some are starting to how some signs. My suggestion is, let us start with us in all what we do and that organizing is coming.

Kama US can get OBAMA in 21st century, just unthinkable to some few months ago, surely this demonstrates to all hopefuls kuwa with determination all is possible. Ndio that is US, but I am talking about human being here.

Huwezi kumuonea binadamu endlessly. They will no doubt make you change your ways and this is it, now happening in Tanzania.

Watch this space - the KAGODA is by no means end of story. I have that much trust in the power of the good.
 
I am just a bit curious guys! I am not very familiar with Tanzanian laws and business system but I got a question which I think it's important for me to understand (well possible other people will be too)

Can't the government of Republic of Tanzania or interesting groups, even opposition political parties sue the companies ambazo wamepoteza those documents?

As to me it seems that those documents were essential important to open the case and with no doubt these companies in one way or another have participate in

1. Prevention of justice
2. Corruptions

In addition the following can also be sued even by the public and questioned in the court

3. Poor management (how can public put trust on their management)
4. Bleach of business licence
5. Bleach of oath to save the public
6. And if they are part of the business groups then their membership should be questioned as they haven't really worked under the ethic and oath of the membership.

This is just inquisitiveness that I would like to know. Pia as far as I know most countries the issue of Prevention of justice and corruption ni kosa kubwa la sheria.
 
Waziri alikurupuka kudai faili la kagoda limeibiwa-Brela

Mkurugenzi wa Wakala wa Serikali wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) Bw. Esteriamo Mahingila akizungumza na waandishi wa habari leo mchana katika ukumbi wa Idara Habari MAELEZO, pembeni yake ni Msaidizi wa Naibu Waziri wa Viwanda, Masoko na Biashara Bw. Deo Ndunguru.

Mkurugenzi wa Wakala wa Serikali wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) Bw. Esteriamo Mahingila akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo mchana katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dar.
Mkurugenzi wa Wakala wa Usajiri wa Biashara na Leseni, Bw. Esteriamo Mahingila amesema kuwa amesikitishwa na tamko la Naibu Waziri wa Viwanda Masoko na Biashara, Dk. Cyril Chami jinsi alivyotamka kwenye vyombo vya habari kuwa ameshangazwa na taarifa za kutofahamika kwa mmiliki wa Kampuni ya Kagoda Agriculture Limited ambayo nyaraka za kumbukumbu zake zinadaiwa kutoweka kwa Wakala wa Serikali wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) katika mazigira ya kutatanisha.

Bw. Mahingila amekanusha vikali na kubainisha kuwa faili hilo ni miongoni mwa mafaili yaliyochukuliwa na Mkurugenzi wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa (PCCB) ambazo zilichukuliwa tarehe 22 Januari 2008 kwa ajili ya kufanyiwa kazi.
"Wamiliki wa kampuni hiyo ya Kagoda Agriculture Limited ni Bw. John Kyomuhendo na Fransis Wiliam ofisi zake zilizopo kipawa industrial Area no 87, Dar es Salaam, ambapo faili la usajiri ni no.54040 iliyosajiriwa mwaka 29/09/2005."alifafanua Bw.MahingilaAidha hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari vililipoti kuhusu kushangazwa kwa Naibu Waziri wa Viwanda, Masoko na Biashara, Dk. Cril Chami, juu ya taarifa za kutofahamika kwa mmiliki wa Kampuni ya Kagoda Agriculture Limited ambayo nyaraka na kumbukumbu zake zinadaiwa kutoweka kwa Wakala wa Serikali wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) katika mazigira ya kutatanisha.
Hali hiyo ilidhihirika hivi karibuni baada ya Dk. Chami kudhibitisha kuwapo udhaifu mkubwa wa utunzaji wa nyaraka ndani ya Brela, ambao umekuwa ukisababisha kuibwa kwa nyaraka, alipozungumza na waandishi wa habari katika ofisi za Bunge, jijini Dar es Salaam jana.

Muandishi: MICHUZI JR Tarehe: Tuesday, January 20, 2009
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo kama faili hilo limepotea basi limepotea likiwa mikononi mwa Kiongozi wa PCCB Edward Hosea. Inabidi atwambie Watanzania je, faili hilo analo au amelipoteza? Na tangu January 2008 hadi hii leo uchunguzi haujakamilika tu!!!!?
 
Brela mmefanya vema kupambana na Huyu wazir ktk Media....wananchi tujue yanayoendelea Huko.....
 
Hapa hakuna kitu, hawa wasitudanganye. Wanakaa vikao vya siri halafu wanakuja na maamuzi ya kudanganya umma wa watanzania. Cha kushangaza hapa ni kwamba.

BRELA Ipo chini ya waziri wa viwanda na kwamba Dr Chami lazima alikuwa na taarifa sahihi za faili hilo kwani hawa wote wapo chini yake. Waziri hawezi kukurupuka labla wao ndiyo walimkurupusha.

Hapa bado hali ni tete, hao akina Kyomhendo ni lazima BRELA wanawajua kwani huwezi mpa mtu usajili bila kutembelea eneo la biashara na kwenye faili lazima iwekwe picha.

Hawa jamaa wamekuwa set na hawajijui kwa kukimbilia kwenye vyombo vya habari sasa kibao kinawageukia wao kuwa ni wazembe na hawapaswi kuwa kazini, wakati mmiliki halali wa Kampuni, Waziri wanakuwa kwenye safe side.

Hii ngoma bado mbichi itaondoka na wengi bado.
 
The truth kuhusu Kagoda, serikali inajua. hayo majina ya waliosajili ni fictitious names. baada ya usajili, walikabidhi madaraka kwa king makers kupitia barua za powers of attorney.
BOT huwa inalipa pesa moja kwa moja kwenye accounts. Majina ya wamiliki wa zile accouts ambazo fedha za Kagoda zimemwagwa ni soo. Ili kuua soo, serikali lazima ufunike kombe mwanaharamu apite. Msishangae kama Dr.Hosea atasema faili la Kagoda hajaliona na wala hakulichukua, maana Dr.Hosea ndio wale wale!.
 
Hapa hakuna kitu, hawa wasitudanganye. Wanakaa vikao vya siri halafu wanakuja na maamuzi ya kudanganya umma wa watanzania. Cha kushangaza hapa ni kwamba.

BRELA Ipo chini ya waziri wa viwanda na kwamba Dr Chami lazima alikuwa na taarifa sahihi za faili hilo kwani hawa wote wapo chini yake. Waziri hawezi kukurupuka labla wao ndiyo walimkurupusha.

Hapa bado hali ni tete, hao akina Kyomhendo ni lazima BRELA wanawajua kwani huwezi mpa mtu usajili bila kutembelea eneo la biashara na kwenye faili lazima iwekwe picha.

Hawa jamaa wamekuwa set na hawajijui kwa kukimbilia kwenye vyombo vya habari sasa kibao kinawageukia wao kuwa ni wazembe na hawapaswi kuwa kazini, wakati mmiliki halali wa Kampuni, Waziri wanakuwa kwenye safe side.

Hii ngoma bado mbichi itaondoka na wengi bado.

Hebu tujaribu kuandika mambo amabayo tunaweza verify. Hapa Hofstede ume shusha data ambazo tukikuuliza hivyo vikao vilifanyika wapi na nani alikuwepo utashindwa kujibu. Tuache porojo... leta data za kweli... umechemsha!
 
- Mkataba wa Kagoda ulisainiwa na Rostam kwa niaba ya Kagoda, na Mgonja kwa niaba ya serikali, it is about time sasa seikali ikaja clean na kuwafikisha wanaohusika kwenye sheria badala ya kujaribu kutuchezea hizi legal delay tactics.
 
- Mkataba wa Kagoda ulisainiwa na Rostam kwa niaba ya Kagoda, na Mgonja kwa niaba ya serikali, it is about time sasa seikali ikaja celan na kuwafiksiha wanaohusika kwenye sheria badala ya kujaribu kutuchezea hizi legal delay tactics.

aisee! kwa hiyo Rostam anaogopwa kiasi hiki? Mgonja kisha onya sero. Hii Kagoda ni dudu kubwa sana, ila hakuna marefu yasioyo na ncha. Believe, kama Kagoda hawata kamatwa, jitihada zote za kujisafisha hazitazaa matunda sana.
 
Back
Top Bottom