I predict this is it. It the start of the public and open defiance for the day time oppressions in Tanzania and the falling of those who plan to keep the ordinary Tanzanian down down and down.
Unajua, uzuri ni huu mmoja. Huwezi mweka binadamu chini for too long. History imeprove hiyo time and again. Hizi statement za serikali ya JK au vyombo vyake vya sheria, ni lazima vitabadili huu msimamo. Kama ambayo statement za JK zilivyochukuliwa kuwa mafisadi hawatoshitakiwa na baadae wameanza shitaki, na hili nalo litageuzwa, pamoja na ukweli kuwa JK hakutamka hatoshitaki mtu. Yeye alisema sheria ichukue mkondo. Hapo ni sawa.
Ila kwa hili la Kagoda, ni sheria gani na utaratibu gani wa sheria ambao unahakikisha the weakest in the society maslahi yao yanaachwa bila kusimamiwa kisawasawa?
Uongozi usichukulie ukimya wa Watanzania kama ni muda wa kufunika mambo mbio mbio! Yataibuka tuu. Ninaamini kuwa kwa Watanzania umefika wakati wa kujiunga kama waasisi wetu akina Nyerere na Kambona walivyofanya wakati wa kuda self government of independence from the UN/British. Muda wa kudai kujikomboa kutoka kwenye Ubeberu wa Watanzania wenzetu ndio huu. Huu ni uonevu ambao unazidi hata ule wa Tanganyika under the Trusteeship ambapo wakati ule tulisema ni Ukoloni. Leo hii tuseme ni nini??
Tunahitaji mwito na tuweze kuuitikia wote tukiwa well organized not under any political slogans to take offices, but for the grassroot movements which will have all people employed in several places kama watumishi mbalimbali na pia wafanyabiashara, wakulima, kila mtu wa kila rangi, dini, hulka etc and wote we simply have to work for Tanzania. Not working for CCM or Chadema or any political party or any part of the country. Simply working to ensure nchi inakuwa na Utawala wa Kisheria, hilo ndio lengo.
As Dr Martin Luther King had a dream in those year, I have a dream for my mother country and people of my country. Muda utakuja kwa sisi kuweza kuwa na Tanzania ilio huru kutoa maoni bila kuogopa usalama wa taifa kukufuata na kuwafuata ndugu na jamaa zako, Tanzania yenye mahakama zenye meno, na Taasisi zenye nguvu na zinazojitegemea bila kuogopa chama tawala na financiers wake watafanya nini! Ni kweli, wajumbe hapa wa JF may never get there to the promise and ideal state, but Tanzania will get there. The urgent time is now for the Tanzanians all over and wherever we are, to say ENOUGH! Enough is enough. Do NOT embrace or embark on any criminal activities or any sabotage but start to think how you can help your country constructively. It is so easy for people to say anzisha Chama or join them or any of that! No, watu wote tuache hiyo philosophy. Tujiulize ni nini tunataka kufanya kupiga vitu huu uonevu wa wazi na tufanye kwa Amani bila kutumika kama mtu wa chama chochote kile. Tujitume kama mtu wa Tanzania. We owe this to ourselves, our parents and our future generations. We owe this to all peace loving people. Hii ni issue ya Utawala bora kwa kupitia grassroot movement and should cross all borders from Mtwara to Pemba To Zanzibar, Mafia to Bukoba and Musoma. East., West, North and South. We need to start think real hard. The time is coming to start thinking of getting out of these emails, digital only, nicknames and the like. Steadily we need to get behind those out there doing the brave work of chasing these Mafisadi na kuwaumbua. It will take time, but let us start getting out there to organize wenzetu on the ground for the grassroot movement. Just that we can only do this via such medium, demonstrates how unsafe things are and or can be, but we need to ask ourselves, for how long?? Circumstances are forcing people to become actives in areas that we would have decided not to. The current way of things is radicalizing Tanzanians. I am hoping and praying that this radicalism will transform into a good cause to make the rights and ensure the fair and rule of law for all Tanzanians, irrespective of race, dini, kabila etc
This is not looking for braves, we simply need to think how in our own ways where we are, as a starting point, utafanya nini muda ukikuita as a calling? Generation ya Mwalimu ilileta self government and Uhuru, hapa katikati wasomi watawala wetu wamevurugikiwa kiasi juu ya Ujamaa na Ubebari hadi kusahau kabisa Utawala wa Usawa na Haki Sawa kwa wote - kumbuka ndio kilio cha awali cha TAA and then TANU! It is our time to contemplate and come off the cold.
Speak to your Wabunge, Andika Letters, kwa majina na bila majina. Tutumie media. Vijarida vya Mwanakijiji etc, Kama Uko nje ya Nchi watumie wawakilishi wa Mabunge ya Nchi Mlizopo reporti zote za Ufisadi Bongo ili waulize maswali huko kwenye Mabunge yao, Tumeni kwenye Vyombo vya habari vya nyumbani na haya vya nje ya nchi. Tupige kelele kila mtu kwa njia moja au nyingine. Huu sio uchochezi, ni kuumizwa na kutokuwa na njia kwani mfumo uliopo unashindwa kutulinda na hata vyama mbadala havina majibu. Majibu yako kwetu sie kama Watanzania, period.
Wanasheria wenye kujua machambuzi wayanfanye. Kuna chain of events and kama vidokeza vimepotea ila ukweli upo, basi woote waliopoteza waburuzwe mahakamani na waote ushaidi wao. Kwani unatoafuta ushaidi usio kwenye makaratasi wanafanyaje? Utashangaa wanakamata watu tunaoandika humu tena kwa majina bandia na bado wanawachimbia mkwara ila leo hii wanasena hawawezi hao eti wakubwa? Nani mkubwa zaidi ya Mungu? Uzuri ni kuwa Tanzania yetu familia ambazo zilikuwa au zina mali za kuogopesha toka wakati wa Uhuri ni chache mno mno. Wengi wa karibuni ni kutokana na njia za mikato. Hivyo,, hao akina Wafalme na Malikia self made, their time is up. Hata majemadari wa TPDF ni wa Tanzania kwa ajili ya Tanzania. Sio kwa ajili ya hawa Watu Mungu! Na wanasikia vilio vyetu watu wa kawaida na wanasoma hizi taarifa. Utawala wa sheria ni kilio cha kila Mtanzania, katika kila kazi -watu woote woote. Haiwezekani club ya watu wachache watumalize wote! This change must come if all will think and do something in their own capacity. Fight the enemy here fron all fronts - kumbuka unajenga na kutetea sheria hivyo usiwe mbele kuvunja sheria.
THINK and THINK hard and do your part.