Kagoda: Ni Rostam

Kagoda: Ni Rostam

hivi bongo hatuna snippers?? tuchangeni jamani wapo wa kirusi walio kuwa kwenye jeshi lao zamani wanacharge 100,000$ per head.jf hatuwezi kuchanga?? vita dhidi ya ufisadi ni kazi ya siku moja tuu hiii

Kapinga: Kwa hili sikubaliani nalo kabisa kabisa. Namna hii tunavuka mipaka. Wacha tupige kelele tuwaamshe na watanzania waliolala. Hapa si mtu mooja kumbuka ni kundi la watu...utakuwa unanzisha vita.

JF hatuwezi kuchanga? Naamini watanzania watakombolewa kama tunaweza kuchanga kiasi hicho cha fedha tukamkabidhi invisible na wazee wenzake wakakitumia kueneza hii JF tukwa na waandishi na watoa na waeneza habari kila wilaya. Kwa hiyo nahimiza watu wote tuichangie JF iweze kuwa na hawa wapasha habari na waweze kuifanya hii kuwa kazi ya kudumu.

Nawasilisha
 
This is a shame hii case ina ushahidi wa kutosha kabisa kwa mtizamo wa wengi lakini kwa kwetu Africa no bigwig will go to jail wataishia kuvikamata hivyo vichangu na kuvionea subirini muone danadana za Chukua Chako Mapema(CCM).The point is kwa ufisadi huu wanaofanya wanaoathirika ni future generation and we all responsible for this because we allow this to happen,correct me id I am wrong.
 
MAMBO yatabainika siku si nyingi na Kagoda wataanikwa na moto utawawakia
 
MAMBO yatabainika siku si nyingi na Kagoda wataanikwa na moto utawawakia

Lakini kwa jinsi mambo yanavyoendelea sioni mwelekeo wa hii kitu kuanikwa... Hivi hakuna mtu anayeyafahmu haya kutoka jikoni akatunga kitabu?
 
Lakini kwa jinsi mambo yanavyoendelea sioni mwelekeo wa hii kitu kuanikwa... Hivi hakuna mtu anayeyafahmu haya kutoka jikoni akatunga kitabu?

Mkuu nadhani hujanielewa, ni kwamba magazeti yalikosea habari kuhusiana na jalada la Kagoda kupotea lakini makosa yao yamechochea watawala kuona kwamba hili suala ni moto
 
Mkuu nadhani hujanielewa, ni kwamba magazeti yalikosea habari kuhusiana na jalada la Kagoda kupotea lakini makosa yao yamechochea watawala kuona kwamba hili suala ni moto

Got it!!!!!
 
HIVI Watanzania mna habari kwamba kuna watu wanaojifanya wana akili sana na eti wanaweza wakawafundisha viongozi wa Chama wasiojua hata biashara ya kuuza mayai jinsi ya kukitengenezea chama pesa ili kiweze kujiendesha na kushiriki kila chaguzi kuu kwa mbwembwe na vitisho?

Tupeane ukweli na wala huu si wakati wa kulaumiana. Ikiwa chama chenyewe kimezoea kula vya haramu kwani kuna shida gani kuwa na wanaharamu ndani na nje ya chama ili kushirikiana na kupata minofu yote ya mizoga ya kubaki nyuma kimaendeleo kijamii na kiuchumi miaka 48 baada ya uhuru?

Nyie Watanzania bwanae, nitawaambia kitu kimoja. As long as ni wizi mtuuuupu jinsi vyama vyenu vya siasa vinavyopata pesa ya kununua kanga, mashati, tiisheti, vitenge na kadhalika kuwadanganya wapiga kura kuwapigia kura kila baada ya miaka mitano hamtakaa muendelee.

Maana shimo la rushwa linalochimwa na chama cha kisiasa ni kubwa mno kiasi ambacho hata mjifarague vipi hamuwezi kulijaza. Na mwaka nenda mwaka rudi kazi inakuwa ni kuiba na kuiba tena, mara sijui, rada, mara ndege ya rais, mara mradi wa mvua za mabomu ya ndege, mara Poormond, mara Kagoda wa Lugoda, mara meli ya rais, mara BMW Ikulu .....wizi mtuuuupu!

Hakika wanaopanda kwa kuwapakazia wengine hatimaye huanguka kwa kupiga rangi ya Kiboko cha Mungu!

Tunaamini hakuna majina yaliyofutwa na walioko Ikulu nao pia watafichuliwa. Walikuwa wasemaji mbona leo kimya????

PAKUANZIA kumaliza tatizo hili ni kuweka wazi mahesabu ya chama kama inavyofanywa na Benki mbalimbali nchini na kisha mahesabu hayo yakaguliwe na wakaguzi toka nje au wakaguzi wa ndani wasio na utapiamlo.

Hakuna chama cha siasa kinachoweza kupambana na rushwa wakati chama chenyewe kinaishi na kuendelea kutawala kwa rushwa tuu sikuzote!

Nani anabisha?
 
RRostam!,Rostam!,Rostam!,Rostam!,ostam! kwanini uwafanyie hivyo ndugu zetu wamekukosea nini? yaani kukukaribisha kwao ndio ulete dharau.
Ndzetu mlioko nyumbani msiwape nafasi wezi wazitumie hizo pesa.
 
RRostam!,Rostam!,Rostam!,Rostam!,ostam! kwanini uwafanyie hivyo ndugu zetu wamekukosea nini? yaani kukukaribisha kwao ndio ulete dharau.
Ndzetu mlioko nyumbani msiwape nafasi wezi wazitumie hizo pesa.

mi nashangaa hivi kikwete amemshindwa kabisa huyu rostam jamani, we ngoja tu hawa ndo wakuombewa dua....
 
Sasa mbona hawa BRELA wametoa majina tofauti ya wamiliki wa Kagoda??

Wish he (Rostam) was dead!!!????
 
Watu wamenipinga sana nilipo jitokeza kutoa mbinu yakutoa usumbufu hapo udsm,
Matokeo yake thread imefungwa sasa basi vipi hizo mbinu zikiamishiwa kwa mafisadi maana serikari ilishasema kuwa hawawawezi mafisadi.

Mnaonaje kama tukianza kutaja majina ya mafisadi na sehemu wanazopenda kutembelea,pamoja na nchi wanazopenda kutembea ili tuwashughulikie sisi wenyewe au pia mna weka ikibidi picha na mimi nawapa mbinu kabambe za kuwapa mambo maana ndio kitu nasomea hapa Russia na ninajisomesha mwenyewe baada ya serikali kunigomea kwahiyo utaalam ntawapa buree.

Nilisikia wa kagoda wametajwa andikeni majina yao kama kuna mtu anafahamu wanapoishi mimi ntawapa mbinu.Hakuna kupoteza muda kwa ajiri ya wezi.
 
Mod tafadhali nakuomba uirudishe japo ikae mpaka kesho kama watu wakikubaliana na mimi niwape mavituzi nao wafanye jamboz. tafadhari iachie.
 
hivi bongo hatuna snippers?? tuchangeni jamani wapo wa kirusi walio kuwa kwenye jeshi lao zamani wanacharge 100,000$ per head.jf hatuwezi kuchanga?? vita dhidi ya ufisadi ni kazi ya siku moja tuu hiii

Hizo ni nyingi sana. Ukiwanunulia ticket na mahali pa kulala na kula, basi inatosha dola 5,000 tu. Na si lazima awe Mrusi. Warusi siku hizi wanajifanya matawi. Unaenda tu hapo Ukraine, wapo wa bei chee kabisa hawa ma ex-KGB.
 
Last edited:
RRostam!,Rostam!,Rostam!,Rostam!,ostam! kwanini uwafanyie hivyo ndugu zetu wamekukosea nini? yaani kukukaribisha kwao ndio ulete dharau.
Ndzetu mlioko nyumbani msiwape nafasi wezi wazitumie hizo pesa.

Ukisikia Rostam usije ukadhani kuwa yuko peke yake. Yeye ni Kigingi cha ufisadi kwa kuwa ana backing kubwa sana ya mafisadi wakubwa. Mgeni hata siku moja haweza kuja Tanzania na au hata akilelewa Tanzania akaiweka mkononi Ikulu yetu bila sisi wenyewe kumruhusu. Ujinga wetu na tamaa yetu ndio vimempa Rostam nguvu aliyonayo sasa.

Tukitaka kujisafsha tumkamate kwanza na kumwadhibu kwa mujibu wa sheria then ndio tutajua hatua ya pili ni nini.
 
DPP atoboa lilipo jalada la Kagoda

2009-01-23 10:16:30
Na Joyce Kisaka

Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP), Elieza Feleshi, amesema kwamba walipokea jalada la Kampuni ya Kagoda Agriculture Limited inayokabiliwa na tuhuma za wizi wa fedha za Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu (BoT), lakini wamelirejesha kwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kwa Upelelezi (DCI) kwa uchunguzi zaidi.

Akizungumza katika mahojiano maalum na Nipashe jijini jana, Feleshi alisema kwamba ofisi ya DCI inatakiwa kufanya uchunguzi zaidi ikiwa ni pamoja na kutafuta vielelezo vingine kutoka nje ya nchi kuhusu Kagoda.

Kagoda inadaiwa kujichotea kiasi cha Sh. bilioni 40 za EPA kwa njia ya kifisadi, ikiwa ni miongoni
mwa makapuni 22 yaliyojinufaisha na Sh. bilioni 133 zilizoibwa katika akaunti hiyo katika mwaka wa fedha wa 2005/06 ndani ya BoT.

Hadi sasa, ni watuhumiwa 21 tu wamefikishwa mahakamani kuhusiana na tuhuma za wizi wa fedha hizo, lakini kumekuwa na hisia miongoni mwa jamii kwamba Kagoda inayoonekana kama muasisi wa wizi wa EPA ikikingiwa kifua na wakubwa kwa sababu zao.

Kwa kauli hii mpya ya Feleshi, suala la Kagoda sasa linazidi kupanuka na kuhusisha makachero kutoka nje ya nchi, hali ambayo inaelekea kuzidi kusogeza mbele muda wa kufikishwa kortini kwa wahusika wa kampuni hii inayodaiwa kuwa na uhusiano na watu walio karibu na vigogo serikalini.

Kauli ya Feleshi, inafuatia kauli ya Wakala wa Serikali wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), kwamba jalada la Kagoda lilipelekwa kwa Timu ya watu watatu iliyoundwa na Rais Jakaya Kikwete kwa nia ya kufanyiwa uchunguzi.

Timu hiyo ilikuwa chini ya Mwenyekiti wake, Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Johnson Mwanyika.

Wajumbe wengine wa Timu hiyo walikuwa ni Mkuu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah.

Awali, Mwanyika alikuwa ameieleza Nipashe kwamba hajui lolote kuhusu Kagoda kwani walikwisha kukabidhi ripoti yao kwa Rais na kwamba vyombo vya serikali viulizwe juu ya kampuni hiyo.

``Kuanzia pale, uenyekiti uliisha na kazi tulimaliza hayo mengine vyombo vinavyohusika vitakuwa kwenye nafasi nzuri ya kulizungumzia,`` alisema Mwanyika.

Nipashe ilipowasiliana na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba, kutaka kujua maendeleo ya uchunguzi wa kesi ya Kagoda ambayo imezua gumzo kubwa nchini, alisema yupo likizo Mwanza na kwa sasa hajui nini kinaendelea kwani hana taarifa za hivi karibuni.

Badala yake, Manumba alisema mtu wa kuweza kujua hali halisi ya Kagoda kwa sasa ni DPP Feleshi.

``Kwa sasa nipo likizo na sijui nini kinaendelea tafadhali wasiliana na DPP ndie ataweza kukupa kinachoendelea,`` alisema.

Awali Nipashe ilipowasiliana na Feleshi alisema ofisi yake imepokea mafaili mbalimbali likiwemo la Kagoda kwa ajili ya kufanyia kazi kwa mujibu wa sheria.

Kadhalika, Feleshi alisema haoni ni kwa nini watu wanakuwa na wasiwasi na kubashiri mambo kuhusu Kagoda wakati hilo ni suala linaloshughulikiwa kisheria.

Alisema majalada yakishafikia kwenye ofisi yake yanapitiwa upya mpaka ofisi yake ijiridhishe kwa ajili ya hatua zaidi, kwa maana hiyo haoni sababu ya watu kuishinikiza ofisi yake kwa kuwa ni wataalamu na kutaka waachiwe wafanye kazi yao.

Hata hivyo, alisema hakuna mpango wowote wa kuficha majalada, ila suala la kisheria huwa lina hatua zake na ni lazma zote zipitiwe.

Feleshi alisema kwa kuwa serikali kupitia Rais ilitangaza kufanya uchunguzi na baada ya uchunguzi suala hilo liliachiwa vyombo vya sheria, ni vyema basi wakapatiwa nafasi ya kufanya kazi hiyo kwa umakini ili watoe maamuzi ya uhakika.
 
Nimepenyezewa taarifa kuwa suala la Kagoda AL limekuwa gumu mno kwa DPP. Watu wengi wamekuwa wakimhusha Rostam na Kagoda AL na ushahid pekee ni Wakurugenzi wa Kagoda AL kutumia anwani ya Caspian Cosnstruction Ltd ambayo ni Kampuni ya Rostam Aziz.

Kwa mujibuwa trifa hizo, imeshindikana kabisa kumhusisha Rostam kwa kuwa hakuna sehemu nyingine yoyote ya kumuhusihsa Rostam zaidi ya anwani ya Caspian Construction LTD. Habari zinapasha kuwa Manji ndiye hawezi kukwepa Kashfa ya Kagoda na ameshafuatwa mara nyingi na Makachero na hilo ndilo limesababisha Manji kuugua yale magonjwa ya 'Kuchnganyikiwa' na kutaka kujimaliza.
 
DPP kalambishwa asali huyo... kama kweli anaamini hawezi kuwalink aombe msaada kwa Serious Fraud Office(SFO), aone watu watavyovuliwa nguo kweupeee... Mzee wa vijisenti kutwa kutembea na pakti ya vidonge vya presha sikuhizi.
 
Trail ya mapesa waliyochukua haiwezi kusaidia kama kweli kuna dhamira kwa upande wa serikali?
 
Hawa Jamaa wanatuchezea tu, imekwisha fahamika kuwa Rostam ndiye Mhusika Mkuu was Kagoda, sijui kwanini wanaendelea kutufanya wajinga.
 
DPP kalambishwa asali huyo... kama kweli anaamini hawezi kuwalink aombe msaada kwa Serious Fraud Office(SFO), aone watu watavyovuliwa nguo kweupeee... Mzee wa vijisenti kutwa kutembea na pakti ya vidonge vya presha sikuhizi.

Watu wote (wanamtandao) waliombeba Muungwana kuingia Ikulu hawaguswi. Si mnaona mambo ya TICTS na ya RA jinsi serikali inavyotaka kuyakwepa kwa kila hali. TICTS wameshashindwa kazi pale bandarini lakini wanabebwa tu na hakuna ushahidi wa kumtia hatiani Karamagi kutokana na kusaini kwake mkataba wa Buzwagi ambao hauna maslahi kwa Watanzania!!!
 
Back
Top Bottom