Kahama na Mwanza Mjini: Naomba kujua wapi panafaa kuwekeza lodge ya kisasa

Kahama na Mwanza Mjini: Naomba kujua wapi panafaa kuwekeza lodge ya kisasa

Mkuu povu la nini wakati una uwezo wa kutoa maoni bila mtu kukurupukia kwa pupa.
Acha kumpotosha, kahama Kuna lodge kama utitiri... Kahama lodge ya 10,000 ukija dar bila 30000 hupati
 
Kahama raia wanalala sana wasafiri afu umalaya mwingi.Ninacho kiwanja safi kipo pazuri na sio nje ya Mji mpaka stendi kuu 500bajaji.Bei maelewano mkuu kama upo serious...
 
Nenda Kahama Kwa Lodge Pana wateja wengi,pia Viwanja bei inashikika.Mwanza Pana wateja shida Viwanja Vipo Juu.
 
Back
Top Bottom