Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 2, 2024 #21 Mkuu povu la nini wakati una uwezo wa kutoa maoni bila mtu kukurupukia kwa pupa. Mr mutuu said: Acha kumpotosha, kahama Kuna lodge kama utitiri... Kahama lodge ya 10,000 ukija dar bila 30000 hupati Click to expand...
Mkuu povu la nini wakati una uwezo wa kutoa maoni bila mtu kukurupukia kwa pupa. Mr mutuu said: Acha kumpotosha, kahama Kuna lodge kama utitiri... Kahama lodge ya 10,000 ukija dar bila 30000 hupati Click to expand...
N Nzagambaaa JF-Expert Member Joined Jan 22, 2023 Posts 1,135 Reaction score 1,826 Feb 2, 2024 #22 Kahama raia wanalala sana wasafiri afu umalaya mwingi.Ninacho kiwanja safi kipo pazuri na sio nje ya Mji mpaka stendi kuu 500bajaji.Bei maelewano mkuu kama upo serious...
Kahama raia wanalala sana wasafiri afu umalaya mwingi.Ninacho kiwanja safi kipo pazuri na sio nje ya Mji mpaka stendi kuu 500bajaji.Bei maelewano mkuu kama upo serious...
Druggist JF-Expert Member Joined Nov 10, 2010 Posts 439 Reaction score 528 Jul 4, 2024 #23 Nenda Kahama Kwa Lodge Pana wateja wengi,pia Viwanja bei inashikika.Mwanza Pana wateja shida Viwanja Vipo Juu.
Nenda Kahama Kwa Lodge Pana wateja wengi,pia Viwanja bei inashikika.Mwanza Pana wateja shida Viwanja Vipo Juu.