Investigation Unit
JF-Expert Member
- Nov 26, 2023
- 216
- 301
Hii imeendaKwani umma sindio serikali?
Kuna maeneo yalikuwa mapori kwa miaka mingi,
Kisheria usipoendeleza eneo kwa zaidi ya miaka 5 mfululizo akaja mwenzako kuliendeleza anakuwa mmiliki kihalali,
Hii makala yako ina mambo matatu yanayojionyesha wazi.Haraka haraka kwenye mada,
Mhe Paul Makonda, mwenezi wetu pole na hongera kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya katika kulijenga Taifa na chama
Ni Mimi Mabula Malunde Sitta.
.Hii makala yako ina mambo matatu yanayojionyesha wazi.
Umeandika kumpa hongera Makonda lakini hakika yake umeonyesha kuwa yeye ni mkurupukaji ktk kufanya maamzi. Amegawa eneo la Serikali kwa mvamizi na msingiziaji ambae kashidwa mahakamani mara kadhaa, na viongozi wenzake
Nimependa sana uchapakazi wa huyu Mkurugenzi kama ni kweli kilichoandikwa hapa,Haraka haraka kwenye mada,
Mhe Paul Makonda, mwenezi wetu pole na hongera kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya katika kulijenga Taifa na chama chetu Cha Mapinduzi, hakika unastahili pongezi kwa hili.
WEWE ndio unasema, sio sisi tunasema, speak for your damn self.Mhe Paul Makonda, Mkurugenzi huyu kaitoa Kahama kwenye Halmashauri ya Wilaya hadi leo ni "Municipal council" Waswahili tunasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe
Wamesema ni Mkurugenzi sio Mkuu wa Wilaya mkuuWEWE ndio unasema, sio sisi tunasema, speak for your damn self.
Mnyonge mnyongeni my foot! Kwa nini mumnyonge mnyonge? Na mkishamnyonga anapataje haki yake mtu keshakufa ?????
Kahama ina upekee wa kitakwimu sio kwa sababu ya Mkuu wa Wilaya, bali kwa sababu ya uchimbaji. Plain and simple. Who you think you are fooling here ?
"...hebu nitajie Halmashauri moja inayoongoza kwa ukusanyaji wa Mapato Tanzania kama sio Kahama tena hebu nitajie Halmashauri moja inayoongoza kwa miradi ya maendeleo kwa Fedha za ndani kama sio Kahama au hebu nitajie Wilaya moja inayoitwa Mkoa wa Kikodi hapa Tanzania kama sio Kahama."
1. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ilikusanya Tshs billioni 32 kwa katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023. Bado kuna Halmashauri za Manispaa za Temeke na Kinondoni ambazo zilikusanyq mapato kuizidi Manispaa ya Ubungo. Kwa Kahama bado ni mtoto tu kwenye kundi la Manispaa. Bado baba lao Halmashauri ya Jiji lw Dar es Salaam.
Halafu kuhusu ushindani wa makausanyo yq mapato, TAMISEMI wameweka Halmashauri katika makundi: Kuna Miji Midogo, Miji, Manispaa, Wilaya, na Majiji. Kahama ipo kundi la Manispaa, hata hivyo haiwezi kushika namba moja.
2. Kuhusu Wilaya ya Kahama kuwa Mkoa wa Kikodi pekee. Tarafa ya Kariakoo iliyopo Wilaya ya Ilala ni Mkoa wa Kikodi; Tarafa ya Mbagala iliyopo Wilaya ya Temeke ni Mkoa wa Kikodi. Mifano ipo mingi. Kwa hiyo siyo kweli.
3. Halmashauri ya Manispaa ya Kahama haikupandishwa hadhi kutoka Halmashauri ya Wilaya na kuwa Halmashauri ya Manispaa. Isipokuwa, Halmashauri ya Mji wa Kahama ndiyo uliopandishwa hadhi na kuwa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama.
4. Ukisema kuna Halmashauri zinakuja Kahama kujifunza basi ni hivi, Kahama wenyewe madiwani walienda Manispaa ya Ubungo kujifunza namna ya kukusanya mapato haswa ya Stendi. Halmashauri nyingine zilizoenda Ubungo ni Mwanza Jiji, Ilemela MC, Tanga Jiji, na wengine wa kule Zanzibar. Hata Arusha Jiji walienda Ubungo.
Haraka haraka kwenye mada,
Mhe Paul Makonda, mwenezi wetu pole na hongera kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya katika kulijenga Taifa na chama chetu Cha Mapinduzi, hakika unastahili pongezi kwa hili.
Mhe Paul Makonda, Majuzi wakati ukiwa hapa Kahama kuna jambo lilinishtua na roho ikaniuma sana wakati unalazimisha yule dada Caroline apewe eneo ambalo ni mali halali ya Serikali (Umma).
Mhe Paul Makonda, Nilishangaa zaidi kwanini hawa watu wabaya watumie jukwaa lako kutengeneza Uongo na kutaka kuiba mali za umma zilizopo kihalali tena wakikuhusisha mpaka wewe katika nia zao hizo ovu?
Mhe Paul Makonda, yule mama Caroline aliyekuwa anakulilia kisanii pale viwanjani Mimi namfahamu na mgogoro wake kuanzia mwanzo mpaka mwisho pia naufahamu vizuri.
Mhe Paul Makonda, Mama huyu tangu alivyoshindwa kesi katika mahakama ya Wilaya ya Ardhi Kahama na baadae akakata rufaa Mahakama kuu Shinyanga mahakama zote hizi zilitamka kuwa lile ni eneo la Serikali (umma).
Mhe Paul Makonda, Kama utataka kujiridhisha zaidi mwambie akuletee uamuzi wa mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga kama alivyodai mbele ya umma kuwa ameshinda kesi.
Mhe Paul Makonda, Ukweli kuhusu madai ya Caroline unaweza pia kuwauliza aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Sophia Mjema au aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe Anamringi Macha ambae Sasa ndio Naibu Katibu Mkuu wa Chama chetu hawa wote wanamfahamu Caroline na eneo pia wanalifahamu watakupa ukweli wote.
Mhe Paul Makonda, najiuliza kwanini mtu atake kuchukua eneo la Umma na wewe bila kujali Wala kudadisi kwa kina unataka kumpa sapoti achukue mali ya Serikali (umma) kwani huoni kama kwa kufanya hivyo unachochea mgogoro zaidi?
Mhe Paul Makonda, Nataka nikueleze kuwa Kahama tunamkurugenzi ambae kwanza hanunuliki lakini pili ni mtu mwadilifu na anauchungu na mali za Serikali ndio maana unaona hataki janja janja hizi za watu kupora mali za umma.
Mhe Paul Makonda, Wilaya ya Kahama imepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo kwa haraka na Watanzania wanalijua hili ukilinganisha na Halmashauri nyingine zote hapa Tanzania bara na hata huko Visiwani.
Mhe Paul Makonda, kama Kuna sababu tatu kubwa za Kahama kuwa hivi ilivyo Leo basi moja ni uwepo wa huyu mkurugenzi mwadilifu na ndio sababu Halmashauri zote Tanzania wanakuja kujifunza hapa Kahama (Mkurugenzi huyu ni shamba darasa kitaifa).
Mhe Paul Makonda, Mkurugenzi huyu kaitoa Kahama kwenye Halmashauri ya Wilaya hadi leo ni "Municipal council" Waswahili tunasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe ukweli ni kwamba binadamu wote tunayomadhaifu ila huyu anajitahidi sana.
Mhe Paul Makonda, Najua unajua mtu anayefañya kazi vizuri wakati wote hapendwi hasa na majizi na wapigadili, Ukweli mchungu huyu jamaa sio mwizi Wala mlarushwa TAMISEMI wanajua hivyo na ndivyo ilivyo.
Mhe Paul Makonda, hebu nitajie Halmashauri moja inayoongoza kwa ukusanyaji wa Mapato Tanzania kama sio Kahama tena hebu nitajie Halmashauri moja inayoongoza kwa miradi ya maendeleo kwa Fedha za ndani kama sio Kahama au hebu nitajie Wilaya moja inayoitwa Mkoa wa Kikodi hapa Tanzania kama sio Kahama.
Mhe Paul Makonda, Tunapopata vijana waadilifu na Waaminifu kama hawa lazima tuwapongeze na kuwatia moyo nasio kuwakemea na kuwadhalilisha mbele ya halaiki bila kujali kazi kubwa wanayoifanyia nchi yetu.
Mwisho, Tupelekee salamu zetu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mwambie kura zake za mwaka 2025 Kahama zimetimia hata kama Uchaguzi utakuwa ni kesho mama anashinda kwa kishindo.
Ni mimi Mabula Malunde Sitta.
Hapo sasa. Nilitarajia mtoa mada ulete data za Kahama kwa sababu mimi sina ila nina uhakika Ubungo yenye kata 14, imeipiku Kahama kwa sababu, mwaka wa fedha 2021/2022 Manispaa ya Ubungo ilikusanya bilioni 27 za Kitanzania, na kushika nafasi ya 3 katika kundi la Manispaa ikitanguliwa na Manispaa za Temeke na Kinondoni.1. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ilikusanya Tshs billioni 32 kwa katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023.
Je Kahama ilikusanya ngapi?
Ohoo, sawa! Basi aliyeandika hili bandiko hakuwa huru kuusema ukweli. Kuna vitu vinamtatiza kwenye utendaji wa Makonda lakini akaamua kutonyooka. Unajua tena, uchaguzi uko mita moja tu mbele, watu wanaogopa kukatwa. Lakini niwahakikishie Samia si kama mwendazake aliyewaachia uwanja mpana wa maamzi Polepole na Bashiru..
Tatu, umeandika kichawa sana. Utampaje hongera na sifa kiongozi ambae katoa maamuzi yasiyo sahihi? Pamoja na kukerwa kwako na hayo maamuzi ya Makonda, inaonyesha kuna jambo unalitafuta kupitia kwake.
Mkuu Mimi nime copy & Paste toka kwenye group.
Mheshiwa nyingi km ugoro... Viongozi wa vyama siyo waheshimiwa..Haraka haraka kwenye mada,
Mhe Paul Makonda, mwenezi wetu pole na hongera kwa kazi kubwa na nzuri unayoifanya katika kulijenga Taifa na chama chetu Cha Mapinduzi, hakika unastahili pongezi kwa hili.
Mhe Paul Makonda, Majuzi wakati ukiwa hapa Kahama kuna jambo lilinishtua na roho ikaniuma sana wakati unalazimisha yule dada Caroline apewe eneo ambalo ni mali halali ya Serikali (Umma).
Mhe Paul Makonda, Nilishangaa zaidi kwanini hawa watu wabaya watumie jukwaa lako kutengeneza Uongo na kutaka kuiba mali za umma zilizopo kihalali tena wakikuhusisha mpaka wewe katika nia zao hizo ovu?
Mhe Paul Makonda, yule mama Caroline aliyekuwa anakulilia kisanii pale viwanjani Mimi namfahamu na mgogoro wake kuanzia mwanzo mpaka mwisho pia naufahamu vizuri.
Mhe Paul Makonda, Mama huyu tangu alivyoshindwa kesi katika mahakama ya Wilaya ya Ardhi Kahama na baadae akakata rufaa Mahakama kuu Shinyanga mahakama zote hizi zilitamka kuwa lile ni eneo la Serikali (umma).
Mhe Paul Makonda, Kama utataka kujiridhisha zaidi mwambie akuletee uamuzi wa mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga kama alivyodai mbele ya umma kuwa ameshinda kesi.
Mhe Paul Makonda, Ukweli kuhusu madai ya Caroline unaweza pia kuwauliza aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe Sophia Mjema au aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe Anamringi Macha ambae Sasa ndio Naibu Katibu Mkuu wa Chama chetu hawa wote wanamfahamu Caroline na eneo pia wanalifahamu watakupa ukweli wote.
Mhe Paul Makonda, najiuliza kwanini mtu atake kuchukua eneo la Umma na wewe bila kujali Wala kudadisi kwa kina unataka kumpa sapoti achukue mali ya Serikali (umma) kwani huoni kama kwa kufanya hivyo unachochea mgogoro zaidi?
Mhe Paul Makonda, Nataka nikueleze kuwa Kahama tunamkurugenzi ambae kwanza hanunuliki lakini pili ni mtu mwadilifu na anauchungu na mali za Serikali ndio maana unaona hataki janja janja hizi za watu kupora mali za umma.
Mhe Paul Makonda, Wilaya ya Kahama imepiga hatua kubwa sana za kimaendeleo kwa haraka na Watanzania wanalijua hili ukilinganisha na Halmashauri nyingine zote hapa Tanzania bara na hata huko Visiwani.
Mhe Paul Makonda, kama Kuna sababu tatu kubwa za Kahama kuwa hivi ilivyo Leo basi moja ni uwepo wa huyu mkurugenzi mwadilifu na ndio sababu Halmashauri zote Tanzania wanakuja kujifunza hapa Kahama (Mkurugenzi huyu ni shamba darasa kitaifa).
Mhe Paul Makonda, Mkurugenzi huyu kaitoa Kahama kwenye Halmashauri ya Wilaya hadi leo ni "Municipal council" Waswahili tunasema mnyonge mnyongeni lakini haki yake apewe ukweli ni kwamba binadamu wote tunayomadhaifu ila huyu anajitahidi sana.
Mhe Paul Makonda, Najua unajua mtu anayefañya kazi vizuri wakati wote hapendwi hasa na majizi na wapigadili, Ukweli mchungu huyu jamaa sio mwizi Wala mlarushwa TAMISEMI wanajua hivyo na ndivyo ilivyo.
Mhe Paul Makonda, hebu nitajie Halmashauri moja inayoongoza kwa ukusanyaji wa Mapato Tanzania kama sio Kahama tena hebu nitajie Halmashauri moja inayoongoza kwa miradi ya maendeleo kwa Fedha za ndani kama sio Kahama au hebu nitajie Wilaya moja inayoitwa Mkoa wa Kikodi hapa Tanzania kama sio Kahama.
Mhe Paul Makonda, Tunapopata vijana waadilifu na Waaminifu kama hawa lazima tuwapongeze na kuwatia moyo nasio kuwakemea na kuwadhalilisha mbele ya halaiki bila kujali kazi kubwa wanayoifanyia nchi yetu.
Mwisho, Tupelekee salamu zetu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan mwambie kura zake za mwaka 2025 Kahama zimetimia hata kama Uchaguzi utakuwa ni kesho mama anashinda kwa kishindo.
Ni mimi Mabula Malunde Sitta.
1. Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ilikusanya Tshs billioni 32 kwa katika kipindi cha mwaka wa fedha 2022/2023.
Je Kahama ilikusanya ngapi?
Wamesema ni Mkurugenzi sio Mkuu wa Wilaya mkuu
Kwani Tarime hakuna mining, Geita Je? Don't be biasMkuu wa Wilaya, Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya, Katibu Tawala wa Wilaya....
Distinction without a difference
Point is, Kahama stands out uniquely in developmental statistics because of massive mining industry in the district. Simple as. Si kwa sababu ya utendaji wa bureaucrats Halmashauri ya Manispaa ya Kahama.