Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

Nakumbuka kipindi Mbowe ameomba maridhiano akiwa Mwanza niliandika humu kuwa haki haiombwi, inachukuliwa.
 
Kufika 28 watu watakuwa wamezoea milio ya mabomu na marisasi.
 
..WHY?

..Hao watu usiku ukizidi kuingia wataondoka wenyewe.

..Polisi wetu hawana akili kabisa.
Hiyo hoteli Ni sehemu ya biashara mteja sio Lisu peke yake what about others wanaotaka Kuingia kwenye huyo hoteli? Vipi usalama wa hoteli yenyewe na Mali zake vipi usalama na privacy ya wageni wengine
Hoteli Zina mambo mengi

Hoteli mikoa mingine kataeni kumpa malazi Lisu mwacheni alale kwenye magari atawaharibia biashara

Mteja gani atataka Kuingia hoteli iliyozingirwa na watu .Mtu hata hawezi toka abarizi nje sababu Kuna watu wameizingira

Polisi walikuwa sahihi kuwatawanya kwa maslahi na usalama wa hoteli Mali zake na wateja wengine
 
Watu wema unawajua kwa kuwatuzama usoni tu .Mikutano ya siasa mwisho saa 12 huko hotelini walufuata Nini usiku? Lisu akiuawa nao si mtasingizia polisi hawKutoa ulinzi na usalama wakutosha?

Lisu na Chadema toeni ushirikina kwa Vyombo si wore wanaoweza mzunguka mtu wenu nyakati za usiku hivyo Ni watu wema likitokea la kutokea msije laumu polisi mnayataka wenyewe
Ashukuru huko Yuko mikoani ingekuwa are vibaka wangepora hiyo hoteli ingebaki tupu haina hata magodoro na wateja wangeporwa kila kitu
 

Wachawi wanawaza ushirikina tu!. CCM ni tawi la kuzimu kabisa.
 
Ona Sasa kaanza kukodi watu toka mbali ili aoenekane ana wasindikizaji hao walikuwa hawana pa kulala sababu walitoka mbali walitaka wageuze hiyo hoteli sehemu yao ya malazi ili kukicha waondoke kurudi Kwao

Hongereni polisi kwa kazi nzuri
 
Chadema ilitakiwa iombe kibali mwezi mmoja kabla kuwa mgombea wao atasindikizwa kwenda hotelini.
 
Wewe unadhani wangekaa hapo kwa amani wakajjondokea kwa amani baada ya kiu yao kwisha, nini kibaya kingetokea?
Ukae kwa amani umehaa kuzunguka hoteli? Watu washindwe Kuingia na hasara zao au kutoka kisa kuogopa hup umati mimacho Yao?

Hoteli Ni sehemu ya private na mambo private hao wajinga walikuwa wanamzibia mwenye hotel kukosa wateja na kuwakosesha amani wateja wengine

Lisu mjinga anadhani yeye ndie mteja pekee hotelini hajali wateja wengine kuwa anawaweka kwenye situation gani na hoteli yenyewe anaiweka situation gani

Ushauri kwa wenye hoteli Lisu akifika msimpe malazi yeye na time yake kwa usalama wenu na hoteli zenu na Mali zenu na pia biashara zenu kutoharibika kwa kukosa wateja wengine
Hili la umati wa Lisu kujazana viwanja vya hoteli chama Cha wamiliki was mahoteli kitoleeni tamko kukitaa na kukilaani na Lisu na team yake peaneni taarifa kuwa Ni mteja Risk hivyo asipangishwe hotel yeyote .
 
Jamani! Bagoshaa! Mbona upande wa pili hawamsindikizi anapoenda kulala na kukesha naye?

Watanzania wanabeba mengi moyoni, ukiwaangalia usoni huwezi kujua wanachokiwaza huku wakikutabasamia.

Story za tumeibiwa sijui tumepokea bilioni ngapi hawataki, wanataka hela mifukoni.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Chadema mbona wanahangaika hivi Wana uhakika watashinda kwa kuwanunulia K-Vant vijana wetu waandamane na Chama chenye urafiki na Robert Amsterdam
 
Chadema mbona wanahangaika hivi Wana uhakika watashinda kwa kuwanunulia K-Vant vijana wetu waandamane na Chama chenye urafiki na Robert Amsterdam.
 
Duuh sasa wanavyokusanyika hapo wanataka nini kitokee.
Kwani wamemuumiza nani kama wamekusanyika kwa amani tu?
Nyie endeleeni na fiesta zenu tu lakini kura kwa Lisu
 
Hongereni sana Jeshi la polisi kwa kazi nzuri sana.

Mungu awabariki sana huku Chato leo tutawawakilisha vizuri sana kwa kumpiga vitasa vya maana mbeligiji.
 
Nimelikubali hilo vibe.
NEC na Polisi wakizingua tunakinukisha kwa staili hiyo kila mji nchi nzima.

Mwaga Pombe!
 
Huu ni ushahidi tosha kuwa Tundu Antiphas Lissu anapendwa kweli na Watanzania na hazuiliki kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025
 
Hongereni sana Jeshi la polisi kwa kazi nzuri sana.

Mungu awabariki sana huku Chato leo tutawawakilisha vizuri sana kwa kumpiga vitasa vya maana mbeligiji.
Tunaizidi kukusanya tu ushahidi wa mliyopanga kuyafanya huko Chato. Na tutautuma sehemu husika.

Mnadhani Lissu kaja huko kwa bahati mbaya eeh??? Subirini sasa. Kamera za dunia ziko Chato kuangalia mtakayomfanyia Lissu leo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…