The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Kinachomsaidia Lissu, anwakilisha ujumbe wak=e kwa kuongea na wananchi ... Lakini Bwana yuke yeye anataka ahutubie au atishie watu tena kwenye Red Carpet na kiti cha serikali utafikiri yuko kwenye sherehe za Mapinduzi ..........!!Wameingiwa woga mkubwa maccm. Hawaamini kile chama walichodai kimeshakufa kuwa na uwezo wa kuvuta umati mkubwa kama huu.
mungu alisema musiue ,musipigane risasi,musitekane sasa nyie ni wakina nani kumpinga mungu??Mungu alisema nendeni duniani mkazaane!! Sasa wewe nani wa kumpinga Mungu!
dawa ni kuwaambia wakodi hotel nzima walipe na appearance fee, katika hotel za ulaya akija mtu mashuhuri anapandishiwa beiNi kweli. Mwisho wa siku wenye hoteli watakuwa wanakataa kuwapokea, kisha wao watasema ni maelekezo toka juu.
For firing live bullets to unarmed and innocent people???????????Nawapongeza polis kwa kazi nzuri ya kusimamia amani
Msichokoze nyuki msije omba pooWasipofuata utaratibu lazima wawawashe tuu. CCM ushindi 100%
Yaani wana shangaa na chama ambacho walisha sema kime kufa. Sasa Ccm wana tumia hadi silaha ya mwisho, na tuli wahi tangaziwa kwamba Mtukufu hange kwenda mtaani kutafufa kura. Sasa hakumbuki hata mara ya mwisho kalala kwake lini.. Chadema iliyo kufa inampeleka puta..Wameingiwa woga mkubwa maccm. Hawaamini kile chama walichodai kimeshakufa kuwa na uwezo wa kuvuta umati mkubwa kama huu.
Watoto wa ibilisi kazinjmungu alisema musiue ,musipigane risasi,musitekane sasa nyie ni wakina nani kumpinga mungu??
Alidanganywa na tbc na kina slow kwamba ataweza uwa upinzani.Matokeo yake ye ndo atapotea Kama alivyoptea wassira alipotaka kuiwa cdm bunge kafa yeyeYaani wana shangaa na chama ambacho walisha sema kime kufa. Sasa Ccm wana tumia hadi silaha ya mwisho, na tuli wahi tangaziwa kwamba Mtukufu hange kwenda mtaani kutafufa kura. Sasa hakumbuki hata mara ya mwisho kalala kwake lini.. Chadema iliyo kufa inampeleka puta..
WAGUMU SANA KUELEWA,SASA WANAKUSANYIKA WANATAKA NINI KITOKEE? MBONA WANAKUWA WAKOROFI KWA SERIKALI HIVI? YAANI MI NASHINDWA HATA KUWAELEWA.Violence Alert Tanzania Election
"Tunapigwa mabomu nje ya hotel ya Gaprena Kahama, kwasababu watu wamesindikiza gari na hawataki KUONDOKA"
Inadaiwa Mtu mmoja amepigwa mguuni na risasi ya moto.
Aliyepigwa risasi alikuwa mpita njia, anafahamika kwa jina la Kiwasha Masele.. Anapelekwa Hospitalini
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA, Tumaini Makene ameandika hivi; Very sad! Polisi Kahama, wanatumia silaha, yakiwemo mabomu kuwatawanya wananchi wa mji huo waliokuwa wanamsindikiza kwa amani Mgombea Urais wa JMT wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu kwenda hotelini baada ya mkutano wa kampeni alioutumia kuwasalimia maelfu ya wanaKahama!
View attachment 1598264
HAWA CHADEMA NI
WAGUMU SANA KUELEWA,SASA WANAKUSANYIKA WANATAKA NINI KITOKEE? MBONA WANAKUWA WAKOROFI KWA SERIKALI HIVI? YAANI MI NASHINDWA HATA KUWAELEWA.
NA WAVUNJWE TU!
Policcm iwape ulinzi! hivyo tu! mbona mikesha ya mwenge wanatoa ulinzi?Duuh sasa wanavyokusanyika hapo wanataka nini kitokee.
Maelekezo ya jiwe hayoPoliccm iwape ulinzi! hivyo tu! mbona mikesha ya mwenge wanatoa ulinzi?
Tutajuaje? Labda ndio wameita hao polisi.Wafanyabiashara wamelalamika?
Hamna nyuki, nyote vipepeo tuuMsichokoze nyuki msije omba poo
Wa Leo sio wa jana,haki kwanza ndipo amani ufuataHamna nyuki, nyote vipepeo tuu