Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

Wameingiwa woga mkubwa maccm. Hawaamini kile chama walichodai kimeshakufa kuwa na uwezo wa kuvuta umati mkubwa kama huu.

Kinachomsaidia Lissu, anwakilisha ujumbe wak=e kwa kuongea na wananchi ... Lakini Bwana yuke yeye anataka ahutubie au atishie watu tena kwenye Red Carpet na kiti cha serikali utafikiri yuko kwenye sherehe za Mapinduzi ..........!!
 
Ni kweli. Mwisho wa siku wenye hoteli watakuwa wanakataa kuwapokea, kisha wao watasema ni maelekezo toka juu.
dawa ni kuwaambia wakodi hotel nzima walipe na appearance fee, katika hotel za ulaya akija mtu mashuhuri anapandishiwa bei
 
Nawapongeza polis kwa kazi nzuri ya kusimamia amani
For firing live bullets to unarmed and innocent people???????????
Kweli waTZ nimewavulia kofia!!!!!!!!!!!!
Anyway ndege wa rangi moja huruka pamoja!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wameingiwa woga mkubwa maccm. Hawaamini kile chama walichodai kimeshakufa kuwa na uwezo wa kuvuta umati mkubwa kama huu.
Yaani wana shangaa na chama ambacho walisha sema kime kufa. Sasa Ccm wana tumia hadi silaha ya mwisho, na tuli wahi tangaziwa kwamba Mtukufu hange kwenda mtaani kutafufa kura. Sasa hakumbuki hata mara ya mwisho kalala kwake lini.. Chadema iliyo kufa inampeleka puta..
 
Yaani wana shangaa na chama ambacho walisha sema kime kufa. Sasa Ccm wana tumia hadi silaha ya mwisho, na tuli wahi tangaziwa kwamba Mtukufu hange kwenda mtaani kutafufa kura. Sasa hakumbuki hata mara ya mwisho kalala kwake lini.. Chadema iliyo kufa inampeleka puta..
Alidanganywa na tbc na kina slow kwamba ataweza uwa upinzani.Matokeo yake ye ndo atapotea Kama alivyoptea wassira alipotaka kuiwa cdm bunge kafa yeye
 
HAWA CHADEMA NI
Violence Alert Tanzania Election

"Tunapigwa mabomu nje ya hotel ya Gaprena Kahama, kwasababu watu wamesindikiza gari na hawataki KUONDOKA"

Inadaiwa Mtu mmoja amepigwa mguuni na risasi ya moto.

Aliyepigwa risasi alikuwa mpita njia, anafahamika kwa jina la Kiwasha Masele.. Anapelekwa Hospitalini

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA, Tumaini Makene ameandika hivi; Very sad! Polisi Kahama, wanatumia silaha, yakiwemo mabomu kuwatawanya wananchi wa mji huo waliokuwa wanamsindikiza kwa amani Mgombea Urais wa JMT wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu kwenda hotelini baada ya mkutano wa kampeni alioutumia kuwasalimia maelfu ya wanaKahama!

View attachment 1598264
WAGUMU SANA KUELEWA,SASA WANAKUSANYIKA WANATAKA NINI KITOKEE? MBONA WANAKUWA WAKOROFI KWA SERIKALI HIVI? YAANI MI NASHINDWA HATA KUWAELEWA.
NA WAVUNJWE TU!
 
Kati yako na hao waliokuwa wana celebrate ukombozi, nani anaufahamu? Hivi wewe unajua kwamba unaongoza kwa ujuha hapa? Au hujui? Kama hujui pole.
 
Ukiambiwa usifanye kitu, ukakaidi ukafanya "utapigwa tu" maana Sasa hakuna namna.

Yani sasa hivi kuna kundi la wapuuzi fulani, wao wanajua kabisa kufanya kitu fulani Ni kosa kisheria au sio utaratibu, Ila wanafanya makusudi, wakiambiwa kwa mdomo hawasikii. Kwamfano kule Mara baada ya jamaa kwenda bila kuzingatia ratiba rasimi iliyotolewa, wakati police wanaongea na Lissu, raia wakaanza kuwarushia mawe😃, hivi hata kama ni mimi nikuangalie tu, aaàah hapana kwakweli, nakufyatua tu, huwezi kuleta ujinga unaoweza kunidhuru tena kwa kudhamilia, alfu nikuache kisa naogopa nyuzi zitakazo anzishwa huku Jf.

Wakileta vurugu wapigwe tu, hata kama Ni ndugu yangu ndo anaefanya huo ujinga wa kukiuka maagizo ya vyombo vya usalama na kuwashambulia apigwe tu.
 
Back
Top Bottom