The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Wameingiwa woga mkubwa maccm. Hawaamini kile chama walichodai kimeshakufa kuwa na uwezo wa kuvuta umati mkubwa kama huu.
Kinachomsaidia Lissu, anwakilisha ujumbe wak=e kwa kuongea na wananchi ... Lakini Bwana yuke yeye anataka ahutubie au atishie watu tena kwenye Red Carpet na kiti cha serikali utafikiri yuko kwenye sherehe za Mapinduzi ..........!!