Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

Kampeni zinatakiwa ziishe saa 12 jioni hao wahuni na huyo kibaraka wanataka kuleta fujo tu.

Kwani wanaleta fujo gani mbona moshi hapo walikuwepo usiku wakamsindikiza hadi hotelini usiku wanaondoka hakuna mtu alipigwa mabomu huko kuhama wana jeshi lao au. Hao polisi ndo wanachamgia kujenga chuki katika nchi yetu sijui wanataka machafuko ili iweje. Hawa ndiyo wa kupelekwa The Hague
 
huo usiku utawahakikishia usalama wewe? waliomba kibali cha kukusanyika hapo? polisi wana uhakika gani kuwa sio wabaya wa lissu wanasubiri giza liingie wamdhuru.

..kuna aliyejaribu kumdhuru?

..wakati mwingine Polisi wanashindwa kutumia busara.
 
Kwani wanaleta fujo gani mbona moshi hapo walikuwepo usiku wakamsindikiza hadi hotelini usiku wanaondoka hakuna mtu alipigwa mabomu huko kuhama wana jeshi lao au. Hao polisi ndo wanachamgia kujenga chuki katika nchi yetu sijui wanataka machafuko ili iweje. Hawa ndiyo wa kupelekwa The Hague
Huko the Hague mbona unakuogopa sana eeh? Wahuni wa machimbo ya madini wamekodiwa ili walete fujo kwa kuwa wanajua vijana wengi wa kwenye majimbo siyo wenyeji wa huko. Lakini mbinu zao zimejulikana!
 
Wameyataka wenyewe ya kumkabidhi Nchi mtu ambaye hakustahili kukabidhiwa hata nyumba kumi kumi mtaani. Sasa inakula kwao wanabaki kuwategemea polisiccm na tumeccm ili kung'ang'ania madarakani.
Wewe ni hopeless kwanini usije wewe ukakabidhiwa nchi kama unazo hizo sifa? Wewe endelea kubeba mabox huko kwa mabeberu huku ukibaguliwa kama nyani!
 
Geita hawakupiga mabomu,nimeskia RPC ameondolewa na kupelekwa chuo cha polisi ili ajifunze tena kazi.Pia OCD naye kang'olewa.

Waengine wanatetea unga wao,usione hivi.
Sijui nani aliwatuma ila kuwapiga mabomu kunaweza kuwafanya wengine nao wakusanyike kesho akienda eneo lingine.
 
Lakini hili pia limefanyika kwa usalama wa mgombe sababu humjui mbaya nan ktk huo mkusanyiko, ndugu zangu vitu vingine tunawapa lawama polisi sijui kwa kutokujua nn tunafanya au la!
 
Back
Top Bottom