Ban Yisrael
Member
- Oct 3, 2020
- 59
- 78
Duu msinikumbushe ya Mwangosi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe polisi ni adui namba 1 wa haki na utuViolence Alert Tanzania Election
"Tunapigwa mabomu nje ya hotel ya Gaprena Kahama, kwasababu watu wamesindikiza gari na hawataki KUONDOKA"
Inadaiwa Mtu mmoja amepigwa mguuni na risasi ya moto.
Aliyepigwa risasi alikuwa mpita njia, anafahamika kwa jina la Kiwasha Masele.. Anapelekwa Hospitalini
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA, Tumaini Makene ameandika hivi; Very sad! Polisi Kahama, wanatumia silaha, yakiwemo mabomu kuwatawanya wananchi wa mji huo waliokuwa wanamsindikiza kwa amani Mgombea Urais wa JMT wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu kwenda hotelini baada ya mkutano wa kampeni alioutumia kuwasalimia maelfu ya wanaKahama!
Ndio suluhisho...KATIBA MPYA
Wakuu wa wilaya na mikoa pamoja na ma OCD wao watamponza Magufuli na Mkuu wake wa Jeshi la Police..WHY?
..Hao watu usiku ukizidi kuingia wataondoka wenyewe.
..Polisi wetu hawana akili kabisa.
Mkuu huyo jamaa hafai alitushambulia tukakimbilia ofisi za ccm kalangalala bado akatufuata huko, kijana wetu mmoja walimngoa meno,Geita hawakupiga mabomu,nimeskia RPC ameondolewa na kupelekwa chuo cha polisi ili ajifunze tena kazi.Pia OCD naye kang'olewa.
Waengine wanatetea unga wao,usione hivi.
Mkiiba kwanini tusishangae wakati tutajua hawezi kushinda?Mtashangaa tarehe 28/10/2020.
ukiwa sugu kwenye risasi utakuwa mtu wa kipekee sanaKundi la watu wengi usiku siyo zuri maana wote hawana nia moja , lakini madhara ya haya mabomu yanayopigwa yanaweza kuleta usugu kwa raia na wasiyaogope tena.
Lakini hili pia limefanyika kwa usalama wa mgombe sababu humjui mbaya nan ktk huo mkusanyiko, ndugu zangu vitu vingine tunawapa lawama polisi sijui kwa kutokujua nn tunafanya au la!
Ujinga na upumbavu huo!Nguvu inayotumika na polisi kwa wananchi wasio na silaha wala kutishia amani si sahihi!Nawapongeza polis kwa kazi nzuri ya kusimamia amani
Haya mnayataka wenyewe, mipango yenu yote inafahamika. Wahenga walisema ''serikali ina mkono mrefu'' nyie mnafikiria hao mashoga watawasaidia kuleta machafuko...WHY?
..Hao watu usiku ukizidi kuingia wataondoka wenyewe.
..Polisi wetu hawana akili kabisa.
Shida ya wanasiasa wetu wanatengeneza mazingira ya crowd bila ulazima wa kufanya hivyo.. Yanapotokea Maafa lawama ni kwa serikali, Acheni hizo bana...
Sent from my LDN-L21 using JamiiForums mobile app
ni adui wa wavunja sheria na watafuta shari kwa nguvuKumbe polisi ni adui namba 1 wa haki na utu