Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Nausubiri kwa hamu sana msimu wa mavuno wa hii mbegu ya chuki inayopandwa na maccmBongo uchaguzi ni vita. Kwa sasa tunapanda chuki, ikikomaa itakuwa wakati wa mavuno
Kampeni zinatakiwa ziishe saa 12 jioni hao wahuni na huyo kibaraka wanataka kuleta fujo tu.
hawa watu sio wazuri nasikia huko serengeti wamemchania nguo mtuAngalia usije ukaenda kwenye fujo za wahuni wa Lissu utabakwa dada kuwa makini.
Achilia mbali kurusha ngumi, wewe binti unaweza hata kukunja ngumi ?Hivi we hata ngumi unaweza kurusha?
huo usiku utawahakikishia usalama wewe? waliomba kibali cha kukusanyika hapo? polisi wana uhakika gani kuwa sio wabaya wa lissu wanasubiri giza liingie wamdhuru.
Tena mwanamkehawa watu sio wazuri nasikia huko serengeti wamemchania nguo mtu
Huko the Hague mbona unakuogopa sana eeh? Wahuni wa machimbo ya madini wamekodiwa ili walete fujo kwa kuwa wanajua vijana wengi wa kwenye majimbo siyo wenyeji wa huko. Lakini mbinu zao zimejulikana!Kwani wanaleta fujo gani mbona moshi hapo walikuwepo usiku wakamsindikiza hadi hotelini usiku wanaondoka hakuna mtu alipigwa mabomu huko kuhama wana jeshi lao au. Hao polisi ndo wanachamgia kujenga chuki katika nchi yetu sijui wanataka machafuko ili iweje. Hawa ndiyo wa kupelekwa The Hague
Ameshalegea!! Ameshalegea, Ameshalegea 😁😂😅😄😄😃😃Wameyataka wenyewe ya kumkabidhi Nchi mtu ambaye hakustahili kukabidhiwa hata nyumba kumi kumi mtaani. Sasa inakula kwao wanabaki kuwategemea polisiccm na tumeccm ili kung'ang'ania madarakani.
Wewe ni hopeless kwanini usije wewe ukakabidhiwa nchi kama unazo hizo sifa? Wewe endelea kubeba mabox huko kwa mabeberu huku ukibaguliwa kama nyani!Wameyataka wenyewe ya kumkabidhi Nchi mtu ambaye hakustahili kukabidhiwa hata nyumba kumi kumi mtaani. Sasa inakula kwao wanabaki kuwategemea polisiccm na tumeccm ili kung'ang'ania madarakani.
Walipashwa wakupige wewe!Wamempiga sana pia.
Sijui nani aliwatuma ila kuwapiga mabomu kunaweza kuwafanya wengine nao wakusanyike kesho akienda eneo lingine.
Hivi wewe ukienda kumpokea mgeni wako ni Kampeni???Kampeni zinatakiwa ziishe saa 12 jioni hao wahuni na huyo kibaraka wanataka kuleta fujo tu.
Lissu anakubalika nchi nzima.Kila anapoenda watu wanajazana bila wasanii huku habari zake hata media hazitangazi.Tena anguko kubwa sana Mkuu.
Mbona hueleweki. Please come again?Hivi wewe ukienda kumpokea mgeni wako ni Kampeni???
Hopeless!