Ambokile Amanzi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2018
- 965
- 1,333
Hivi hao policcm huwa ni wangapi?CCM bila poliCCM ni wepesi sana
Nina uhakika hawazidi hata laki nchi nzima ukiunganisha na hao migambo wengine sijui wa magereza nk.
Tumetishwa sana kisaikolojia kuliko uhalisia. Hawa wahuni hawana jeshi lolote la kuweza kupambana na watanzania milioni sitini!
Wanachofanya ni kuwajaza watu hofu vichwani (hofu ya jeshi kubwa la kufikirika ambalo kiuhalisia halipo) ili watu wafikirie kwamba serikali ya ccm ina maguvu mengi.
Hawana hayo maguvu. Ndio maana wanapitisha migambo mtaani ili kuwaondolea kujiamini. Hizo ni mbinu za mtu MWOGA.
Ni waoga. Wanawaogopeni kwa sababu wanatambua nguvu yenu.
Hawana uwezo wa kijeshi wala wa kiintelijensia wa kukabiliana na watanzania zaidi ya milioni sitini.