Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Kahama: Polisi wapiga mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliojaa nje ya hotel aliyofikia Tundu Lissu

CCM bila poliCCM ni wepesi sana
Hivi hao policcm huwa ni wangapi?

Nina uhakika hawazidi hata laki nchi nzima ukiunganisha na hao migambo wengine sijui wa magereza nk.

Tumetishwa sana kisaikolojia kuliko uhalisia. Hawa wahuni hawana jeshi lolote la kuweza kupambana na watanzania milioni sitini!

Wanachofanya ni kuwajaza watu hofu vichwani (hofu ya jeshi kubwa la kufikirika ambalo kiuhalisia halipo) ili watu wafikirie kwamba serikali ya ccm ina maguvu mengi.

Hawana hayo maguvu. Ndio maana wanapitisha migambo mtaani ili kuwaondolea kujiamini. Hizo ni mbinu za mtu MWOGA.

Ni waoga. Wanawaogopeni kwa sababu wanatambua nguvu yenu.

Hawana uwezo wa kijeshi wala wa kiintelijensia wa kukabiliana na watanzania zaidi ya milioni sitini.
 
Ukimuacha mtu avunje sheria eti hana madhara ipo siku ataona ni haki kuvunja sheria na kumzuia itakua shida,
Acha wapigwe wajue sheria ni lazima ifuatwe na wasidanganyike na huyo mbelgiji baada ya uchaguzi anatimka nyie mnaozea jela au mmevunjwa miguu.
Ubelgiji magufuli ndie aliempereka akidhani kua alitumia Akili.
Kumbe alitumia ugoro aliovuta mamayake kutokea tumboni.
 
Sasa si muanze kwanini tuandikie mate na wino upo!
Wewe na hao migambo wako legevu wa uvccm hamna uwezo wa kupambana na watanzania milioni sitini.

Hiyo ni guaranteed.

Migambo wenyewe wameshawachoka. Mnawatumikisha kwa ujira kiduchu na kuwaamrisha kwa amri haramu za kisiasa.

Na mtashangaa siku watakapoielekeza mitutu yao kwenye visogo vyenu.
 
Kanuni za uchaguzi zinasema baada ya campaign kila mtu anatakiwa arudi nyumbani kwake.

Tundu Lissu yeye anaona sifa kuonekana kaondoka na kijiji utadhani msanii wa bongo fleva.

Badala ya kuwataka watu warudi nyumbani anataka wamsindikize barabarani, alifanya mwanza akaachiwa; polisi nao are to blame wanamwachia avunje sheria mara kwa mara ndio maana anajiona he is above the law.

Anavunja sheria makusudi halafu wafuasi wa CDM wana encourage hizi tabia zake mbovu zitakazo waumiza watoto wa wengine.

Tundu Lissu is a National security problem.
 
Wewe na hao migambo wako wa uvccm hamna uwezo wa kupambana na watanzania milioni sitini.

Hiyo ni guaranteed.
Therefore Chadema has 60 million members and CCM has no members. Sasa hii ni akili au nini? Tatizo lenu mnashikiliwa akili na hao mashoga zenu, mnafikiri wote tumeshikiliwa akili zetu na mashoga. Aibu!
 
Hawa polisi wanafikirisha sana, hapakua na haja ya kutumia nguvu au kuwapiga wananchi mabomu, hapo wakiulizwa watasema wanalinda usalama wa Lissu dhidi ya wananchi
Mapolisi bwana. Wanajaribu kumwokoa mtu wa ccm. Lakini na wananchi nao wamezidi mahabam hawjui kuwa ccm wana wivu sana kwa sasa? RAIS KASHAEMDA KULALA HOTEL WALIPASWA WARUDI HOME


Kisa wanataka kuwazidi watu wa kilimanjaro
 
Mapolisi bwana. Wanajaribu kumwokoa mtu wa ccm. Lakini na wananchi nao wamezidi mahabam hawjui kuwa ccm wana wivu sana kwa sasa? RAIS KASHAEMDA KULALA HOTEL WALIPASWA WARUDI HOME


Kisa wanataka kuwazidi watu wa kilimanjaro
Janja yenu imegundulika mmeshindwa tayari.
 
Wewe nio una stress. Lowas can never be Lissu.

Lissu anawatoa jasho babake.
Kilema atamtoa nani jasho wakati mwisho wake ni tarehe 28/10/2020 halafu nyinyi muendelee na stress zenu! Anakazania apate kiruzuku kidogo ili kimweke mjini au arudi kwa mabwana zake Ubelgiji nyinyi muendelee kupiga miayo tu!
 
Violence Alert Tanzania Election

"Tunapigwa mabomu nje ya hotel ya Gaprena Kahama, kwasababu watu wamesindikiza gari na hawataki KUONDOKA"

Inadaiwa Mtu mmoja amepigwa mguuni na risasi ya moto.

Aliyepigwa risasi alikuwa mpita njia, anafahamika kwa jina la Kiwasha Masele.. Anapelekwa Hospitalini

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano CHADEMA, Tumaini Makene ameandika hivi; Very sad! Polisi Kahama, wanatumia silaha, yakiwemo mabomu kuwatawanya wananchi wa mji huo waliokuwa wanamsindikiza kwa amani Mgombea Urais wa JMT wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu kwenda hotelini baada ya mkutano wa kampeni alioutumia kuwasalimia maelfu ya wanaKahama!
Polisiccm na NECCCM Tumeccm ni chombo binafsi cha CCM
 
Back
Top Bottom