MJI WA VIWANDA NA BIASHARA MAKAMBAKO WAWEKEZAJI WANAZIDI KUFUNGUA INDUSTRIAL PARK AVO AFRICA IMEAMUA KUONGEZA PRODUCT ZITAKAZOTENGENEZWA BAADA YA KUANZA NA MAFUTA KATIKA ENEO LAO LA VIWANDA πππππ Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo amesema uwekezaji uliofanywa na Kampuni ya AvoAfrica wa kuongeza thamani zao la Parachichi kuwa Mafuta ya Kupikia utaongeza soko la zao hilo katika mkoa wa Njombe na Tanzania kwa ujumla.
Dkt. Jafo amesema hayo alifanya ziara katika Kiwanda cha AvoAfrica
Pia kiwanda hicho kitatengeneza bidhaa nyingine kama Sharubati ya Parachichi, Mafuta ya Nywele, Mbolea .
Kwa upande wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema hakuna haja Mkulima wa Njombe au mkoa wa jirani kuhofia soko la Parachichi kwani hata matunda ya Daraja la Pili maarufu "Reject" yatanunuliwa na Kampuni hiyo.
#kingsfmradio #njombe #tanzania #2025imenogailembaya #tanzania
View attachment 3242460View attachment 3242461View attachment 3242462