Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

1739724228617.jpg
1739632387785.jpg
1739773652925.jpg
 
UFUNGAJI MGODI WA BUZWAGI HAUTAATHIRI SHUGHULI ZA UCHUMI KAHAMA – DRK. KIRUSWA

Kamati ya Kudumu ya Bunge Yavutiwa na Mpango wa Ufungaji Mgodi

📍 Kahama

Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa, amesisitiza kuwa ufungaji wa mgodi wa Buzwagi hautaathiri shughuli za kiuchumi katika Wilaya ya Kahama, kwani mipango madhubuti imewekwa kuhakikisha kuwa eneo hilo linaendelea kuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa taifa kupitia miradi mipya ya uwekezaji na maendeleo.

Alisema hayo Februari 16, 2025 Kahama Mkoani Shinyanga wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini iliyotembelea eneo la Mgodi wa Buzwagi ambao uko kwenye hatua za kufungwa baada ya kusitisha uzalishaji wa madini ya dhahabu.

Dkt. Kiruswa alibainisha kuwa, mradi wowote unapoanzishwa lazima mwekezaji aonyeshe mpango wa ufungaji mgodi kabla ya kukabidhiwa leseni na kuendeleza maeneo husika ambako moja ya masharti ni pamoja namna ya kuendeleza shughuli za kiuchumi katika jamii zinazozunguka mradi bila kuathiri maendeleo endelevu ya kiuchumi na mzunguko wa fedha.

Kwa upande wake, Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Kilumbe Ng’enda alieleza jinsi Kamati ilivyovutiwa na mchakato huo wa ufungaji Mgodi wa Buzwagi na kwamba wakazi wa Kahama na Tanzania kwa ujumla.

Mhe. Ng’enda alisisitiza kuwa, maelekezo ya Bunge ni kuhakikisha eneo hilo linabaki kuwa mfano wa uwekezaji wa viwanda hapa nchini kwa manufaa ya kiuchumi kwa jamii na taifa.

Naye, Meneja wa Ufungaji Mgodi wa Barrick Buzwagi, Zonnastral Mumbi, amesema Barrick itaendelea kushirikiana na Serikali wakati wote kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa viwango vya kimataifa na kuwa mfano wa kuigwa kwa kufunga shughuli za mgodi na kuacha eneo lililokuwa mgodi linakuwa na miradi endelevu ya kuwanufaisha Wananchi na taifa kwa ujumla.

Aliongeza kuwa, nia ya Kampuni ya Barrick ni kuhakikisha kuwa inaacha urithi mzuri ambao utaendelea kuhudumia jamii kwa muda mrefu baada ya uchimbaji kufikia mwisho katika mgodi huo, kupitia miradi ya kilimo, ufugaji wa kuku na nyuki, chuo cha ufundi na miundombinu mengine ya maji, barabara na uwanja wa ndege wa kahama ambao hivisasa unauw
 
Uzi umelala ngoja niweke vitu ambavyo watu wa kusini kwao ni ndoto kazi kupost mabasi tu na kujiita matajiri kwenye makaratasi ukiwaambia waweke makazi yao tuone wanapolala matajiri hawawezi kupost, Katoro 💥 💥 👇
1739863076074.jpg
1739863187917.jpg
 
MJI WA VIWANDA NA BIASHARA MAKAMBAKO WAWEKEZAJI WANAZIDI KUFUNGUA INDUSTRIAL PARK AVO AFRICA IMEAMUA KUONGEZA PRODUCT ZITAKAZOTENGENEZWA BAADA YA KUANZA NA MAFUTA KATIKA ENEO LAO LA VIWANDA 👇👇👇👇👇 Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo amesema uwekezaji uliofanywa na Kampuni ya AvoAfrica wa kuongeza thamani zao la Parachichi kuwa Mafuta ya Kupikia utaongeza soko la zao hilo katika mkoa wa Njombe na Tanzania kwa ujumla.

Dkt. Jafo amesema hayo alifanya ziara katika Kiwanda cha AvoAfrica

Pia kiwanda hicho kitatengeneza bidhaa nyingine kama Sharubati ya Parachichi, Mafuta ya Nywele, Mbolea .

Kwa upande wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema hakuna haja Mkulima wa Njombe au mkoa wa jirani kuhofia soko la Parachichi kwani hata matunda ya Daraja la Pili maarufu "Reject" yatanunuliwa na Kampuni hiyo.

#kingsfmradio #njombe #tanzania #2025imenogailembaya #tanzania
1740014212888.jpg
1740014198710.jpg
1740014204398.jpg
 
#NJOMBE: Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo amewataka wakazi wa mkoa wa Njombe kujiandaa na fursa zitakazotokana na uwekezaji wa Kiwanda cha Chuma kinachojengwa na Kampuni kutoka China ya Fujian Hexinggwang katika eneo la Lyamkena Halmashauri ya Mji Makambako.

Dkt. Jafo amesema hayo alipofanya ziara katika eneo hilo leo Februari 19, 2025 ambapo amesema Chuma kitatoka Ludewa na kuongezwa thamani Halmashauri ya Mji Makambako hivyo kutakuwa na ajira na biashara katika maeneo hayo.

#kingsfmradio #jisikiemfalme #njombe #tanzania #2025imenogailembaya
1740019423322.jpg
1740014093773.jpg
1740014102878.jpg
1740018777374.jpg
 
MJI WA VIWANDA NA BIASHARA MAKAMBAKO WAWEKEZAJI WANAZIDI KUFUNGUA INDUSTRIAL PARK AVO AFRICA IMEAMUA KUONGEZA PRODUCT ZITAKAZOTENGENEZWA BAADA YA KUANZA NA MAFUTA KATIKA ENEO LAO LA VIWANDA 👇👇👇👇👇 Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo amesema uwekezaji uliofanywa na Kampuni ya AvoAfrica wa kuongeza thamani zao la Parachichi kuwa Mafuta ya Kupikia utaongeza soko la zao hilo katika mkoa wa Njombe na Tanzania kwa ujumla.

Dkt. Jafo amesema hayo alifanya ziara katika Kiwanda cha AvoAfrica

Pia kiwanda hicho kitatengeneza bidhaa nyingine kama Sharubati ya Parachichi, Mafuta ya Nywele, Mbolea .

Kwa upande wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema hakuna haja Mkulima wa Njombe au mkoa wa jirani kuhofia soko la Parachichi kwani hata matunda ya Daraja la Pili maarufu "Reject" yatanunuliwa na Kampuni hiyo.

#kingsfmradio #njombe #tanzania #2025imenogailembaya #tanzaniaView attachment 3242460View attachment 3242461View attachment 3242462

View: https://youtu.be/wW0GZ0FGqfQ?feature=shared
 
HII NDO SABABU YA KUWA NA MJI MAALUMU WA VIWANDA MAKAMBAKO AMBAO WANATARAJIA UTA HOST UKANDA MZIMA WA NYANDA ZA JUU KUSINI NA NCHI ZA SADC KUTOKANA NA UWEKEZAJI UNAO ENDELEA 👇👇👇👇"Waziri Jafo "Mtaka Unatosha"Ashangazwa na Uwekezaji wa viwanda unaofanyika Mkoani Njombe - YouTube"
View: https://m.youtube.com/shorts/HIzVFypGc6A
 
"Makambako tunategemea iwe ni mji wa viwanda,tuna nia kubwa,tumeweka taratibu nyingi na tunashirikiana na wadau mbalimbali kuhakikisha tunapata na tunaweka miundombinu rafiki kwaajili ya uwekezaji kwenye sekta ya viwanda"-

"Mmeona kuna ujenzi wa kiwanda cha chuma pale Ikelu lakini pia tuna eneo hapa tulilokuwa tunasema soko la kimataifa,hili eneo tumekabidhiwa na Wizara ya viwanda na biashara rasmi kwamba liwe eneo la Halmashauri,kwa hiyo tunajipanga kuona ni viwanda gani vinafaa kuwepo mahali hapo au eneo jingine"-

"Lakini vilevile tuna jambo lingine la ujenzi wa bandari kavu na ujenzi wa vyuo, hivi ndivyo vipaumbele vyetu kwa sasa katika mji wa Makambako"-

Mwenyekiti wa Halmashauri ya mji wa Makambako Hanana Mfikwa akizungumza kuhusiana na vipaumbele vya Halmashauri kwa sasa ili kukuza uchumi wa wananchi na taifa kwa ujumla.

#IceFmHabari
#NisikilizeMimi
@makambakotc
Na @cleefmlelwah
 
Waziri wa viwanda na biashara Selemani Jafo ametembelea na kukagua viwanda viwili vya Magari na mafuta Mjini makambako na kuwahakikishia usalama wa mitaji yao ambayo itaongeza uchumi wa taifa.

Viwanda vilivyo tembelewa ni pamoja na Kiwanda cha Mafuta ya Parachichi cha AVO AFRICA ambacho tayari ujenzi wake umekamilika pamoja na kiwanda cha Utengenezaji wa Magari ambacho ujenzi wake umeanza rasmi na kinatarajia kutumia chuma cha Liganga na Mchuchuma kitakachoanza kuchimbwa wilayani Ludewa mapema mwaka huu.

Waziri Jafo amesema, kukamilika kwa viwanda hivyo viwili kutatoa fursa ya Ajira, Mapato kwa serikali pamoja na kupunguza ombwe la uagizaji wa bidhaa kutoka nnje ya nchi, yakiwemo mafuta.

Wakazi wa Mkoa wa Njombe na mikoa jirani wanasema, Uwekezaji uliofanyika unatoa fursa si tu ya kukuza sifa ya Mkoa bali uchumi, ajira na maendeleo ya Taifa katika sekta ya viwanda.

Ikumbukwe kwamba viwanda hivyo vyote viwili vinatarajia kutumia malighafi zinazopatikana mkoani Njombe yaani Chuma cha Liganga pamoja na Parachichi ili kuongeza mnyororo wa thamani katika malighafi hizo.

#StarTvUpdates
1740165846515.jpg
1740108147692.jpg
1740020314526.jpg
1740165854621.jpg
 

Attachments

  • 1740165854621.jpg
    1740165854621.jpg
    193.1 KB · Views: 1
Back
Top Bottom