ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma ni washamba sana yaani ukiona mapaa ya Juu unajua ni wao.Uzi umelala ngoja niweke vitu ambavyo watu wa kusini kwao ni ndoto kazi kupost mabasi tu na kujiita matajiri kwenye makaratasi ukiwaambia waweke makazi yao tuone wanapolala matajiri hawawezi kupost, Katoro 💥 💥 👇View attachment 3240238View attachment 3240239
Post makazi tuone mnapoishi matajiri 😂😂😂🤗Wasukuma ni washamba sana yaani ukiona mapaa ya Juu unajua ni wao.
Mpaka umeleta Mbeya humu 🤗😂😂😂😂🤣🤣 kupambana na Katoro 💥 💥
MJI WA VIWANDA NA BIASHARA MAKAMBAKO WAWEKEZAJI WANAZIDI KUFUNGUA INDUSTRIAL PARK AVO AFRICA IMEAMUA KUONGEZA PRODUCT ZITAKAZOTENGENEZWA BAADA YA KUANZA NA MAFUTA KATIKA ENEO LAO LA VIWANDA 👇👇👇👇👇 Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo amesema uwekezaji uliofanywa na Kampuni ya AvoAfrica wa kuongeza thamani zao la Parachichi kuwa Mafuta ya Kupikia utaongeza soko la zao hilo katika mkoa wa Njombe na Tanzania kwa ujumla.
Dkt. Jafo amesema hayo alifanya ziara katika Kiwanda cha AvoAfrica
Pia kiwanda hicho kitatengeneza bidhaa nyingine kama Sharubati ya Parachichi, Mafuta ya Nywele, Mbolea .
Kwa upande wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amesema hakuna haja Mkulima wa Njombe au mkoa wa jirani kuhofia soko la Parachichi kwani hata matunda ya Daraja la Pili maarufu "Reject" yatanunuliwa na Kampuni hiyo.
#kingsfmradio #njombe #tanzania #2025imenogailembaya #tanzaniaView attachment 3242460View attachment 3242461View attachment 3242462