Kahama VS Njombe/Mafinga

Huko kahama ukichukua uchumi wa mtu mmoja mmoja wapo vizuri?
 
Tueleze mkuu!maana sio kwa tambo hizo
Njombe bado wanasafari ndefu sana, makao makuu ya mkoa wamezidiwa kila kitu na Makambako kasoro admnistration za kimkoa tu basi, hata ukishindanisha na Mpwapwa Dodoma bado itashindwa kwa vitu vingi sana.
 
Njombe bado wanasafari ndefu sana, makao makuu ya mkoa wamezidiwa kila kitu na Makambako kasoro admnistration za kimkoa tu basi, hata ukishindanisha na Mpwapwa Dodoma bado itashindwa kwa vitu vingi sana.


Nakufaham sana njombe😅!na kwel bado...ingawa wana mazao yenye hela! Nnjombe hata na mafinga inapitwa!
 
Umekaa FM,Agreement,JD,Moronga?Ndio mitaa gani hiyo pale Njombe?Nijuanyo hakuna hiyo mitaa bali ulizotaja ni hoteli na guest house ama urekibeshe kiswahili au useme tu hujawahi fika Njombe au umepita tu barabarani maaana zote zipo barabara kuu ya Njombe-Songea
 


Umemaliza mkuu!uzi ufungwe tu huu😅!no replies!
 
aisee
hujaona investiment za Tea Kibena,Tanwat,Luponde Tea Estate,Uniliver Industry,Hotels like Hillside,plus individual Investiments like Mexons petrol station,Njombe filling stations,sijagusia Roman Catholic schools zilizopo ndani ya Mji.
 

Attachments

  • Kibena photo.jpg
    19.5 KB · Views: 3
Daaah umejuaje nimekwama nauli mkuu? Nifanyie wepesi wa kufika kwetu basi nimeambiwa ili nifike Dar natakiwa niwe na 35 elfu tu. Najua ushauza mbatata roba za kutosha fanya kama unatoa sadaka basi mdogo wako nifike kwetu.
 
Nakufaham sana njombe[emoji28]!na kwel bado...ingawa wana mazao yenye hela! Nnjombe hata na mafinga inapitwa!
Naelekea hapo airport naona upande wa kushoto kuna vighorofa viwili sijui vitatu ndo kuna jaa hapo juu anasema maghorofa kibao yanajengwa daaaah nacheka kama chizi hahahhaaaa.
 
Nakufaham sana njombe[emoji28]!na kwel bado...ingawa wana mazao yenye hela! Nnjombe hata na mafinga inapitwa!
Nikitoka hapa narudi Dar, next stop itakuwa Ukerewe kisiwa cha Ukara nipokee kwa mikono miwili huko kwenye mabondo naja.
 
the prise of Njombe

😅😅 mbona kawaida mzee baba! Sasa wenyeji wanavyoishi kwenye dimbwi la umaskini sasa!..njombe matahjiri wa kuhesabu wenye mabasi ndo mnawaita matajiri!njoo sasa kahana..kuna matajjri wa madini, dagaa, samaki, (mabondo), pamba, nk..!na ukiambiea tajiri ni tajiri kweli !angakia vuwanda vyote vya chai ni vya mabeberu!hakuna ht tajiri mmja mwenye kiwanda cha chai..labda wawe wameanza hv karibuni!
Sasa huku watu wnamiliki ardhi yenye madhahabu !, watu wanamajiviwanda ya kuprocess samak..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…