ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #841
Utasikia jamaa wa mitaroni huko Kahama eti sisi ni matajiri wa dhahabu,haaaππππ bure kabisa haoHii ya
1.Dar
2.Kilimanjaro
3.Njombe
Hamuioni au inarukwa makusudically?
Acha porojo weka picha mzee wa borrow pit townTatizo anayebisha na kutoka povu hajafika kahama na yeye migodi anafananisha na makarasha ya kokoto kwa hiyo kubishana na mtu kama huyo unapoteza nguvu zako bure. Maana anabisha kitu ambacho hakielewi
Achana nae huyo mkuu amepanic kwa mihemuko.Hicho asemacho hata kijijini kwao huko buselesele hakifanyikiKwamba Maduka yanafungwa msimu wa kilimo ni kweli au umeongea tu kwa vile huna kingine cha kuongea?
Haya mabishano ni vizuri yakasindikizwa na Takwimu za NBSTatizo anayebisha na kutoka povu hajafika kahama na yeye migodi anafananisha na makarasha ya kokoto kwa hiyo kubishana na mtu kama huyo unapoteza nguvu zako bure. Maana anabisha kitu ambacho hakielewi
Utasikia jamaa wa mitaroni huko Kahama eti sisi ni matajiri wa dhahabu,haaaππππ bure kabisa hao
Wanajifanya hawaoni
Kwa takwimu hizo Njombe mmeendelea kuliko Arusha na Mwanza?Haya mabishano ni vizuri yakasindikizwa na Takwimu za NBSView attachment 1271466
Karibu kahama, tembea kidogo kazi ya kuhesabu maghorofa utafanya mwenyewe, fika Nyasubi, Mhongoro, Igomero(masaki), Nyahanga, Mbulu, Nyakato n.kUmeunga foleni ya kupiga noise bila ushahidi..hata Google imekosa picha za kahama the borrow pit
Kwanza kaham Kuna viwanja vya kula bata vya kijanja wazee wa Ze fox sportbar,African loung,Club chiller n.k huko njombe kuna mshkaji wangu yupo anasema hajawahi kuona sehemu ya ajabu kama njombe ghorofa kaliona moja tu
kahama kuna watu wengi sana kwa sababu mzunguko wa pesa ni mkubwa, makabila yote utayakuta hapo, wafanyabiashara ni wengi mno na biashara zimechangamka, tofauti na njombe watu wachache , mzunguko wa pesa mdogo, biashara zinafanyika kichawi na wenyeji, wagen wanalogwa mpaka biashara zinakufa.
Naona mnaanza kuzibishia tafitiKwa takwimu hizo Njombe mmeendelea kuliko Arusha na Mwanza?
Mimi sijui ila ipo hiviKwa takwimu hizo Njombe mmeendelea kuliko Arusha na Mwanza?
Ipo hiviAcha kufurahisha jukwaa na huo utumbo unajiaibisha.mimi siandiki maneno mengi nakukumbusha tu ukasome ripoti ya NBS ya hali ya maendeleo ya watu
Nyuma ya Dar,Kilimanjaro ni Njombe hiyo kahama na jamaa zenu mwanza mnaongoza kwa umaskini.Nyie endeleeni kufukua mashimo
Sasa umejibu masuala ya ghorofa hi habari ya NBS yaYaan ww kilichokuchanganya ww ni ghorofa za njomb mjini..poor u
Wamerundikana kama manyumbu,Kahama,kasulu,sengerema,mwanza,yaani on fact huko kanda ya ziwa ni shidamkuu sengerema kuna watu kama mvua je nako kuna mzunguko wa pesa.Kanda ya ziwa uwingi sio mwingiliano bali ni ukubwa wa familia tu mzee.
Chapter closed and key is throne
Hahaaa mjitadi mtafanikiwa mkuu, ila safari ni ndefu sana kufikia mnapotamani kuwepo.
Silinganishi ila naongelea nilichokiona sasa naelekea Iringa nishatoka hapo Njombe.
Njombe n vumbi jekundu n baridi yote unatoka out kufanya nini? Kazi yenu kulima mitiWe kwa akili yako unaamini kuna mji unakosaga viwanja vya bata? Yaani kuwe na mahoteli ya viwango lounge and bars ndo zikosekane? Kuwa xriac bac unless umekopesha akili za huyo mshikaji wako
Si ajabu tulisema weka picha mbaweka bar,wazee wa dhahabu a k a borrow pit town