Kahama VS Njombe/Mafinga

Hili jitu linateseka sana na Kanda ya ziwa. Nawapa pole mnaopoteza muda kujibishana na taahira. Hiyo Njombe yake na Mafinga tunayafahamu sana hayo maeneo. Hakuna chochote cha maana cha kumfanya mtu akaishi huko kwenye umande kama nyani. Kwa kukosa kwake ufahamu halielewi kwamba dhahabu ni volcanic huwa haiishi bali hupungua kisha kuzaana. Liache lisubiri sana kwamba dhahabu itaisha kanda ya ziwa mpaka litakufa litaiacha dhabu ipo kanda ya ziwa. Nawashauri msibishane na taahira.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
imepitiwa na barabara inayounganisha nchi za maziwa makuu,mazao ya kilimo ni mengi,migodi mikubwa ya dhahabu na pia wachimbaji wadogowadogo ni wengi,kando yake tu kuna machimbo ya almasi makubwa na madogo,rasimali watu inayojituma ndio msingi mkuu

Kahama
Ina machimbo ya Madini dhahabu karibu kabisa na mji. Lakini ina lack infrastructure zake za kimtaa.
Kahama haijatanuka sana kwa maana ya ukuaji.
Kahama inategemea 98% madini tu.


Mafinga
Ni mji unao kua kwa kasi sana na umepanuka sana
Toka lungemba ,kinyanambo, mafinga,sabasaba,changalawe, donbosko,jeshini, mpaka makalala kote huko mji umeungana. Ukiangalia mji umepimwa vizuri sana sio kama pale kahama. Majengo yao ni bora na ya kiushindani

Wanategemea nini mafinga?
Viwanda hasa mbao nyingi sana kumbukeni mbao ndizo zinatoka hapo na kusambazwa africa mashariki na kati saohil.
Pareto kiwanda kikubwa kipo hapo
Chai kiwanda kipo pale
Mchele toka madibila unaletwa hapo na kukobolewa tayari kitawanywa tanzania
Kilimo cha mahindi
Kwahiyo Mafinga ni eneo sahihi kukaa maisha ni very cheap. Ila kuna baridi sana.

Njombe ni mkoa unaochukua makambako na maeneo mengine . Hatuwezi kujadili level ya mkoa
 
Sehemu zenye Madini ndio umasikini umejaa, yaani mji upo hovyo kama Gulio, Kamwe Kahama haitafikia civilisation ambayo ipo mafinga na Njombe, watu wamesoma, wana Makazi bora, wana huduma zote za afya na Elimu,
Huko kahama wengi wanaishi makambini huko maishimoni,
Nikikwambia uniambie hata shule mbili za sekondari au hata chuo kimoja au hata Kiwanda kimoja hapo kahama sina hakika kama kipo,
Kama hiyo dhahabu haina reflection kwenye maisha ya watu basi haina maana, yaani ni kama ufananishe Chunya na Tukuyu, ni kama ardhi na Mbingu
Natumaini umeona jinsi Mufindi imeendelea mara kumi zaidi ya huko mashimoni zaidi ya Huko kwenye Mavumbi kahama,
Suala la upande nadhani ni Ushamba ndio unaokusumbua kama kawaida ya watu wa hiyo kanda, hata Ulaya kuna umande na baridi kali kuliko Dodoma,
Kwa Taarifa yako wafanya biashara wa Madini wakubwa ni wageni, nyie chimbeni tu huko kwenye mahandaki ila wanaofaidi hiyo biashara ni wachache sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia nguvu kubwa sana... kuaminisha watu, we unahs watu hawajawah kufika huko mufindi

Ukiona picha za dodoma zilivyo na ukifika dodoma ni tofaut kwahyo acha kupumbaza watu.



...
 
Na hii SGR italeta balaa sana.

Kuna maeneo ya logistic centers tatu tayari yametengwa.

Kutokana na hizo nchi mbili kutoaminika sana kwenye suala la amani,Khm ina nafasi kubwa kupata viwanda vinavyolenga soko la Rwanda na Burundi.
 
Unatumia nguvu kubwa sana... kuaminisha watu, we unahs watu hawajawah kufika huko mufindi

Ukiona picha za dodoma zilivyo na ukifika dodoma ni tofaut kwahyo acha kupumbaza watu.



...
Huyo jamaa anaandika tu ili aonekane kaandika Ila hajui hata anachojadili.

Eti hakuna shule za Secondary hata mbili Kahama! WTF?
 



Aisee nimezaliwa mufindi na nimeishi huko for 25yrs...maisha ya mufindi ni marahisi kwa wale matop layer...wenyej wa huko ni maskini...tofauti ya huku na huko huko nyumba ni bora...ila mfukoni kugumu...mtu aachuma chai mwishoo wa mwezi anapokea 40!zot zimekatwa madeni...huku hata maskini akiamua 40 kwa siku moja anaipata! Jiulize umewah sikia bek 3anatoka mitaa ya madini? Never.beki 3 wanatoka huko...! Kifupi ukitaka kusikia definition ya tabaka la wenye nacho na wasio nacho ni huko!..huko wazungu na mameneja na maasst manager ndo wanahela...labda na wenye biasharq za mbao!...
 
Kwaiyo, kati ya Mufindi na Kahama ni wapi kumeendelea?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…