Sehemu zenye Madini ndio umasikini umejaa, yaani mji upo hovyo kama Gulio, Kamwe Kahama haitafikia civilisation ambayo ipo mafinga na Njombe, watu wamesoma, wana Makazi bora, wana huduma zote za afya na Elimu,
Huko kahama wengi wanaishi makambini huko maishimoni,
Nikikwambia uniambie hata shule mbili za sekondari au hata chuo kimoja au hata Kiwanda kimoja hapo kahama sina hakika kama kipo,
Kama hiyo dhahabu haina reflection kwenye maisha ya watu basi haina maana, yaani ni kama ufananishe Chunya na Tukuyu, ni kama ardhi na Mbingu
Natumaini umeona jinsi Mufindi imeendelea mara kumi zaidi ya huko mashimoni zaidi ya Huko kwenye Mavumbi kahama,
Suala la upande nadhani ni Ushamba ndio unaokusumbua kama kawaida ya watu wa hiyo kanda, hata Ulaya kuna umande na baridi kali kuliko Dodoma,
Kwa Taarifa yako wafanya biashara wa Madini wakubwa ni wageni, nyie chimbeni tu huko kwenye mahandaki ila wanaofaidi hiyo biashara ni wachache sana.
Sent using
Jamii Forums mobile app