Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama ikichangiwa na njombe+mafinga imeigaragaza vibaya sana hiyo miji, tunaomba iongezwe makambako ije kusaidia mpambano uwe KAHAMA vs NJOMBE+MAFINGA+MAKAMBAKO labda kwa mbaali wataisogelea kahama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulia hivyo hvyo maana unakana kwenu,hiyo Iringa yako imebakia kutembelea nyota ya mafinga tuu saizi hakuna jipya hapo saizi

Naipenda iringa kwa hali ya hewa, mji ulipo na hata life style yake. Mdogo lakini mzuri kiasi japo ni muda sijafika
 
Mzee hizi ligi ndogondogo zinatufanya tusahau stress za Corona na angalau unaona inakuwa asubuhi mara jioni na kisha tunalala tena, Wengine imetulazimu tufanye kazi tokea Nyumbani,
Vinginevyo Nakuja Kula Mbuzi na bia hapo Kahama Corona ikiisha.
Mzee wa iringa..
nakaa kimya tu kwa heshima ya iringa na pia nisingependa battle maana Tz yote ni home kwangu.
Kahama naenda bila kulipa visa same na huko kusini mwa nchi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nadhani ntakuwa ng'wanza maana Kahama sio sehemu yangu mkuu
 
Mkuu huyu alieanzisha huu uzi aufunge sasa... ila hata funga kwasababu yeye na mwenzake kichwani hakuna akili [emoji28]

...
 
kwenye mdomo wako imezibutua lakini kwenye uhalisia hakuna kitu huko gulioni kahama zaidi ya mashimo
Hivi we unahisi mimi naweza kukuskiliza wewe... niache kuiskiliza serikali kweli[emoji28][emoji28]

Em funga huu uzi... mmeshindwa na watu wa kahama.

Anzisha nani anatumia sana mbwa kati ya watu wa kahama na njombe/mafinga

...
 
kwenye mdomo wako imezibutua lakini kwenye uhalisia hakuna kitu huko gulioni kahama zaidi ya mashimo
Njombe na Mafinga chalii kwa kahama, 🤣🤣yaani mji mmoja kahama umeigaragaza miji miwili njombe na mafinga. Ongezeni na Makambako mjaribu kusogeasogea kidogo.
Kusini pamesahaulika mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…