Kahama VS Njombe/Mafinga

Post humu tuione hiyo makambako isije kuwa ni sawa na ule ule uchafu wa njombe πŸ˜‚πŸ˜‚
Njombe ni Kali kuzidi Kahama Wala Haina ubishi.

Kahama ni Halmashauri ya Mji,hiyo takataka unaita Katoro ndio nini?
 
Lakini umeona moto wake, yaani Kijiji kinaipelekea moto njombe,Sema lengo lako unataka ufiche nini hapa πŸ‘‡πŸ‘‡unapotaka tuweke picha za jengo moja moja
Ndo maana tumekwambia hicho ni Kijiji hakuna jipya hapo leta gorofa zenye floor kuanzia tano kwenda juu Hapo tutaona mji unafuture unaleta takataka hizi za nn
 
Nije kufanya nini πŸ˜‚ 🀣 🀣 πŸ‘‡ hapa kuna uzuri gani zaidi ya kutu kila kona View attachment 3112858
UNa hangaika na kuhamisha mada tumekwambia huo mkoa wako wote wa geita utuletee majengo yenye gorofa kuanzia tano kwenda juu yasiwe chini ya kumi umebaki unahangaika na picha za zamani hapa
 
Leta hizo picha mpya za mji wa njombe tucheke, unaanza kuleta mambo ya mkoa hapa
UNa hangaika na kuhamisha mada tumekwambia huo mkoa wako wote wa geita utuletee majengo yenye gorofa kuanzia tano kwenda juu yasiwe chini ya kumi umebaki unahangaika na picha za zamani hapa
 
Mbona unapost jengo moja 🀣🀣 weka aerial view, mbona unapenda kuficha ficha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…